Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani. Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari. Huku na huku nikasakanya namba tuyajenge. Akanambia ana mtu wake hivyo haiwezekani. Nikamwambia niwe tyre spare akasema poa ila niwe namuhudumia, nikamwambia nikuhudumie au tuhudumiane? Akapiga kimya. Jana kanitext anaomba 50,000 nikamwambia niko room namba 09 Guesthouse aje achukue ananiambia kama ndo mambo hayo basi hataki. Hivi akina dada huwa mnataka iweje? Au kuna mahala nakwama wanazengo? Yaani mi niwe nakuoa hrla harafu anagegeda mwenzangu [emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Elfu 50 kubwa hivyooo... Elfu Kumi tu inawatosha siku hizii...!! Tena mnatoa kotr kotee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Elfu 50 kubwa hivyooo... Elfu Kumi tu inawatosha siku hizii...!! Tena mnatoa kotr kotee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwanachuo hiyo ni kubwa sana, tena kashasema ana mtu wake.
Ina ukubwa gani jamani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo unaitwa mzunguko wa hela. Yaani wewe uwe fala umpe hiyo hela akaliwe na mwingine wakagawane hiyo pesa. Atakaye pewa naye kuna ka sehemu atapaleka.Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani. Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari. Huku na huku nikasakanya namba tuyajenge. Akanambia ana mtu wake hivyo haiwezekani. Nikamwambia niwe tyre spare akasema poa ila niwe namuhudumia, nikamwambia nikuhudumie au tuhudumiane? Akapiga kimya. Jana kanitext anaomba 50,000 nikamwambia niko room namba 09 Guesthouse aje achukue ananiambia kama ndo mambo hayo basi hataki. Hivi akina dada huwa mnataka iweje? Au kuna mahala nakwama wanazengo? Yaani mi niwe nakuoa hrla harafu anagegeda mwenzangu [emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani. Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari. Huku na huku nikasakanya namba tuyajenge. Akanambia ana mtu wake hivyo haiwezekani. Nikamwambia niwe tyre spare akasema poa ila niwe namuhudumia, nikamwambia nikuhudumie au tuhudumiane? Akapiga kimya. Jana kanitext anaomba 50,000 nikamwambia niko room namba 09 Guesthouse aje achukue ananiambia kama ndo mambo hayo basi hataki. Hivi akina dada huwa mnataka iweje? Au kuna mahala nakwama wanazengo? Yaani mi niwe nakuoa hrla harafu anagegeda mwenzangu [emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app