BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,222
mtimukie mbali huyo asikutie nuksi.......
mhm hapa ndio unapoji contradict...huna tym nae wakati unakuja hapa kumuongelea loh!! wanawake bwana unamkandia mwenzio tafikiria hujawai kumvulia chupi!!! ama kweli mwanamke ni wakugegeda na kusepa
Hapana. Inabidi amsamehe bure kwani huyo mwanaume ni binadamu. Ana mapungufu yake.mtimukie mbali huyo asikutie nuksi.......
mmh,mi alinishinda mana mwanaume aliniganda anadai utadhan tuliandikishiana..nkaona icwe tab,acjenipa mkoc kila material thngsss..nkamkusanyia had makeup alizonunua..sa cjui alitumia yy mwnyw au..hahaha yan ungemuona anavyojirudisha sa hv..afu mi cna tym..cz cjawai kupokea cm yake,text anatuma mda wote cjui hana kaz ya kufanya
Pamoja na matatizo yote.
Falsafa ya maelezo yako naona yupo rohon mwako, si ajabu narudia si ajab matashea tena kitanda. Sina hakika lakin nahisi hivyo.
Hapana. Inabidi amsamehe bure kwani huyo mwanaume ni binadamu. Ana mapungufu yake.
hayupo kabisa yan..na hata angekuwepo cwez kumrudia mwnume wa type hii..mana hata mkiish wote ni janga tu..alipoteza upendo wng baada ya kuniacha bila sababu,tena na dharau juu..i may be stupid,bt not fool enough kiac cha kumrudia mtu wa aina hii..
huo sio upungufu ni ujinga afukuze mbaliHapana. Inabidi amsamehe bure kwani huyo mwanaume ni binadamu. Ana mapungufu yake.
aliniacha kwa mbwembwe zote..sasa nashanga..amerudi,tena kwa mbwebwe za kuomba msamahi,sms za sorry zinafululika kama mvua..had anajaza inbox yangu...Mwanaume hana haya huyu mana kasahau kashfa,na kibut alichonipa anarud mdogooo kuomba msamahaaaa....
Too bad kwake cz cwez kurudia matapishi yangu,aliniacha majestically na mbaya zaid janaume zima lilinidai vtu alivyonipa kwa nguvu zoote...bibye nlirudisha kila alichonidai kuepusha shari,nlikubaliana na maamuzi n nkamuv on na maisha yangu.. sa hv anajifanya kuomba msamaha cjui yamemshinda nn huko
..my lovely dada wenzangu ucje kufanya mistake ya kumrudia mwanaume aliekukashfu,na kutangaza kila kona mlipoachana...hiyo ndo type ya wanaume wasio na msimamo..na ndo type ya wanaume wanaotangaza siri za ndan kwa ndugu na majiran..
Wanaume bhana...i cant u guyssss..your anothrr kabisssa...hahahaha
Unaanza kuchafua hali ya hewa hapa ndani!!
Hebu kwanza tuambia ilikua aje mpaka mkavurumishana hadi kunyang'anyana vizawadi mlivopeana?
ilikuwaje usimchunguze mienendo yake hadi kukurupukia vizawadi vyake? hebu tuambie weye ulishawahi kumpa zawadi yeyote?
Kama alikuacha na leo anataka kukurudia maana yake wakti mko naye hukuona mapungufu yake na ulimwona ni mkamilifu hadi alipokumwaga. Kwa lugha nyingine weye ulikuwa naye kwa ajili ya maslahi!! yawezekena outing na present zilipopungua ukaanza kumfanyia vijineno naye ikamuuma hadi kukuvurumisha. Na kwa kuwa alishazimika kwako, hasira zimemuisha anajiona anakosa zile dozi ulizokuwa unampa hadi anavunja benki yake kukujaza zawadi weye!!
Hebu jitafakari kama kweli ulimpenda yeye kama yeye au ulipenda pesa na rasilimali zake!!
Shosti poleeeee! So ukarudisha kabisaaaaaaaaa! Thubutu yangu!!!!!!!!!!! Labda aanze kunirudishia Uroda wangu wote niliompa!!!!!!!!!! NYAMAFFFFFFFFFFF KABISA!!!!!!!!!!!! Sirudishi hata aje anidai na Mdundiko!!!!!! Kiendacho kwa mganga hakirudi bibi wewe!!!!!!!!!
Akitaka akafungu jalada la madai mahakama ya mwanzo!!!!!!!
alishamegwa huyooo...utamu arudishe kibipi kwani raha alipata mwenyewe tuu....u really need to change hii mentality yenu ya kudhani kuwa sie pekee ndio twapata raha....
mmh,mi alinishinda mana mwanaume aliniganda anadai utadhan tuliandikishiana..nkaona icwe tab,acjenipa mkoc kila material thngsss..nkamkusanyia had makeup alizonunua..sa cjui alitumia yy mwnyw au..hahaha yan ungemuona anavyojirudisha sa hv..afu mi cna tym..cz cjawai kupokea cm yake,text anatuma mda wote cjui hana kaz ya kufanya
Sasa kama uroda haurudishiki kivipi arudishe vitu alivohongwaaaaa? Kiendacho kwa mganga akirudi
hivi nyie watu hata biblia hamsomi!!samehe saba mara sabini!!!arudishe moyo amsamehe sela aliteleza kidogo!Piga chini huyo....ulambe matapish umekuwa paka weye?