Amerudi na muamala wa 120k

Amerudi na muamala wa 120k

Nimejaribu kuuvaa uhusika naona nimeshindwa,inapotokea mtu amekupa fedha yake haimaanishi kuwa hana ndugu wa kuwasaidia pia,mwanaume anapokupa fedha haimaanishi kuwa amekuhonga ila ni kwamba anayavaa majukumu kama mwanaume

Nashindwa kuwaelewa wanawake,mkihudumiwa na wanaume wa maana linakuwa tatzo lkn,msipohudumiwa mnasema "wanaume wa leo hawajui kuhudumia wapenzi wao"
Unahudumiaje mtu ajakukubali,alafu mume wa mtu huna mke ? Huna watoto au mna kusoma Cha Pesa???
 
Hahaha Bora useme mkuu
Dahhhh....
Hii ni moja ya mifano michache ya wadada wa jf, hivi kwanini mnapenda kututangaza...!!??
Tukiwapa pesa, kosa.
Tukiwanyima pesa, kosa.
Hivi ninyi viumbe, mbona mna miliki rangi nyingi zaidi hata zingine hazijulikani vyenye zinaitwa...!!??
 
Dahhhh....
Hii ni moja ya mifano michache ya wadada wa jf, hivi kwanini mnapenda kututangaza...!!??
Tukiwapa pesa, kosa.
Tukiwanyima pesa, kosa.
Hivi ninyi viumbe, mbona mna miliki rangi nyingi zaidi hata zingine hazijulikani vyenye zinaitwa...!!??



Achana nao..nitumie mimi uone km ntakitangaza mzee baba☝☝(ila ww bahilii😂😂😂)
 
Unahudumiaje mtu ajakukubali,alafu mume wa mtu huna mke ? Huna watoto au mna kusoma Cha Pesa???


Point..
kama unamkataa mume wa mtu mkatae tu..sio vyema ukaanza tangaza njaa zako akikusaidia napo umsimange... (lakini hapa natoa ushauri km uko abov 25yrs)huenda uko chini ya hapo unaweza usinielewe...!
 
Nisiwachoshe
Pita kwanza hapa


5G902EJTFGYH Imethibitishwa mnamo 9/7/19, 10:41 AM Toa Tsh120,000.00 kwa XXXX Salio lako ni Tsh XXX Lipia bidhaa mitandaoni kwa M-PESA MASTERCARD.

Ghafla ujumbe huo hapo juu unaingia ,nausoma umepokea 120 kutoka kwa...... Naanza kujiuliza Nani kanitumia hela???(mpenzi wangu wa chuo Hana hela ajawahi kunipa hata buku tano[emoji23][emoji23]).

Naona sms ,Lady of Destiny1 ni Mimi flani nimekutumia 120k sasa hivi siku ile ulivyoniomba ile hela nilikuwa Sina nikakosa la kukujibu,Nikaona Bora kukaa kimya
Sorry mamy .

Nimetaka kumjibu Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta alafu nikaacha kuandika ,hela sijaitowa na simu yake sijapokea bado,najiuliza nimwambieje sijui

#Kumbuka huyu mtu simtaki hata atume milioni mia

#KamaNiwewe ungefanyaje
Kwahiyo mwanamke akikuomba hela ni kwamba Hakutaki?

#YNWA
 
Back
Top Bottom