Amerudi na muamala wa 120k

Amerudi na muamala wa 120k

Nimejaribu kuuvaa uhusika naona nimeshindwa,inapotokea mtu amekupa fedha yake haimaanishi kuwa hana ndugu wa kuwasaidia pia,mwanaume anapokupa fedha haimaanishi kuwa amekuhonga ila ni kwamba anayavaa majukumu kama mwanaume

Nashindwa kuwaelewa wanawake,mkihudumiwa na wanaume wa maana linakuwa tatzo lkn,msipohudumiwa mnasema "wanaume wa leo hawajui kuhudumia wapenzi wao"
Wanawake wanakariri sana. Wanafikiri wanaume wote wapo kama hao jamaa wanaokutana nao.
 
Kasome Uzi wa nyuma.halafu uone huyu mwanaume wa aina gani
Aggyjay,japo hatufahamiani kwa majina na sura halisi lkn,ni mtu ambaye huwa nakuheshimu sana
Hata ulipoleta uzi wako wa kusimangwa na watu kisa tu eti wamekusaidia ukweli nilitokwa na machozi so, sikutegemea kama ungeweza kumshauri mtu mwingine vbaya kiasi hicho

Kumbuka unakuwa umeshiriki kuumizwa kwa mtu mwingine ambaye hana hatia (huyo aliyetuma fedha)
Tukumbuke kuwa yote mabaya ambayo tunawatendea binadamu wengine tunayalipa hapa hapa Duniani!
 
Licha ya hivyo, ulichomshauri unaona ni sahihi? Tatizo halisuluhishwi kwa kuleta tatizo.
Ni sawa.lakini kuna mda mwingine kama mtu mzima inabidi uwe muelewa.wewe umekiri ni mime wa mtu.binti unampapatikia anakwambia wazi kabisa siwezi date mume wa mtu.
Unamsumbua mwisho anakuchoka anaamua kukupiga mzinga wa hela kukukimbiza,kweli unakimbia.baada ya miezi kadhaa unarudi na kutuma muamala..wewe ni mwanaume wa aina gani?
Hiyo 120k angempa tu mkewe au wanae
 
Hii jamii tunayo ishi inabidi kuwa makini na maamuzi yeyote unayochukua, epuka kutoa lawama kwa wengine na kujumuisha watu klia ulifanyalo tambua wewe ndiyo mhusika Mkuu

TUJITEGEMEE ukikubali wajibu timiza wajibu
 
Monde Arabs,yasikusononeshe ni ya dunia tu.
According to huyu mdada.huyo mwanaume ni mume wa MTU.nae alishamwambia yangu mwanzo siwezi tembea na mume wa MTU.jamaa akawa a naendelea kumsumbua nae binti akabaki na msimamo wake.sasa binti ya kumweka mbali huyu jamaa ni kijifanya ana shida kumuomba hela ili amkimbie.nyie wanaume mnaita kupiga mizinga.akamuomba 50k.jamaa alivoombwa hiyo hela ni kama alimblock huyu Dada.
Sasa yangu mwaka Jana ghafla Leo anakuja na muamala.hiyo pesa si angempa mkewe?
Je wewe huoni shida akimkubalia huyu jamaa halafu akawa amamuumiza mwanamke mwenzio kule aliepo ndani ya ndoa na huyu jamaa?
Au unasapoti michepuko?
Kwa nini asmblock kama usumbufu umerudi tena na hataki wanaume za watu?
Unaonaje
Aggyjay,japo hatufahamiani kwa majina na sura halisi lkn,ni mtu ambaye huwa nakuheshimu sana
Hata ulipoleta uzi wako wa kusimangwa na watu kisa tu eti wamekusaidia ukweli nilitokwa na machozi so, sikutegemea kama ungeweza kumshauri mtu mwingine vbaya kiasi hicho

Kumbuka unakuwa umeshiriki kuumizwa kwa mtu mwingine ambaye hana hatia (huyo aliyetuma fedha)
Tukumbuke kuwa yote mabaya ambayo tunawatendea binadamu wengine tunayalipa hapa hapa Duniani!
 
Hapo kiuungwana ina bidi umrudishie, baada ya hapo umamsafishia vizuri unampelekea akajilie bila tatizo, mana alikuwa anapambana huko aliko kuzisaka hebu uwe na huruma usawa mgumu huu ohoo😃
 
Ni sawa.lakini kuna mda mwingine kama mtu mzima inabidi uwe muelewa.wewe umekiri ni mime wa mtu.binti unampapatikia anakwambia wazi kabisa siwezi date mume wa mtu.
Unamsumbua mwisho anakuchoka anaamua kukupiga mzinga wa hela kukukimbiza,kweli unakimbia.baada ya miezi kadhaa unarudi na kutuma muamala..wewe ni mwanaume wa aina gani?
Hiyo 120k angempa tu mkewe au wanae
Ijapokuwa mtu hawezi kuwatoa wengi kafara kwa sababu ya mtu mmoja lakini kwa kadhia yake ni suala dogo tu, na lingemfaa zaidi. Angelitafuta hata line nyengine ya simu na kuwahamishia wale watu wake wote muhimu na kuwataarifu ndiyo line anayoitumia kwa sasa (kama hana bwana lakini)

Kwa kufanya hivyo ingelimsaidia kwa sababu mwanaume huwa ana asili ya ubishi. Angelim' block jamaa angemtafuta kwa namba nyengine. Binafsi naona angelibadili line. Ila akiila na kisha akajifanya mjanja ipo siku ataumia tu kwa huyo jamaa. Si unajua binadamu huwa tunakutana milima ndiyo haikutani!

Akili kumkichwa. Muhimu arudishe hela hiyo na kumwambia ahsante nilishlitatua tatizo langu huku akitafuta line nyengine( kama jamaa akiendelea kumsumbua sana) na afanye hivi ikiwa hana bwana.
 
Dahhhh....
Hii ni moja ya mifano michache ya wadada wa jf, hivi kwanini mnapenda kututangaza...!!??
Tukiwapa pesa, kosa.
Tukiwanyima pesa, kosa.
Hivi ninyi viumbe, mbona mna miliki rangi nyingi zaidi hata zingine hazijulikani vyenye zinaitwa...!!??
 
Ijapokuwa mtu hawezi kuwatoa wengi kafara kwa sababu ya mtu mmoja lakini kwa kadhia yake ni suala dogo tu, na lingemfaa zaidi. Angelitafuta hata line nyengine ya simu na kuwahamishia wale watu wake wote muhimu na kuwataarifu ndiyo line anayoitumia kwa sasa (kama hana bwana lakini)

Kwa kufanya hivyo ingelimsaidia kwa sababu mwanaume huwa ana asili ya ubishi. Angelim' block jamaa angemtafuta kwa namba nyengine. Binafsi naona angelibadili line. Ila akiila na kisha akajifanya mjanja ipo siku ataumia tu kwa huyo jamaa. Si unajua binadamu huwa tunakutana milima ndiyo haikutani!

Akili kumkichwa. Muhimu arudishe hela hiyo na kumwambia ahsante nilishlitatua tatizo langu huku akitafuta line nyengine( kama jamaa akiendelea kumsumbua sana) na afanye hivi ikiwa hana bwana.
Hata akibadili line. Nakazia hapo kwenye milima haikutani binadamu wanakutana
Maamuzi ya kurudisha au kutoirudisha yapo mikononi mwake.mi nimechangia tu hapa.
Siku wakivaana barabarani hela hajarudisha watajua wenyewe
 
Kwanza kampe surprise ya papuchi kajikakamua sana mpe akeshe nayo kakupa ada kakubali ateseke sisi wanaume akili zetu zipo zinawaza chini
 
Ni sawa.lakini kuna mda mwingine kama mtu mzima inabidi uwe muelewa.wewe umekiri ni mime wa mtu.binti unampapatikia anakwambia wazi kabisa siwezi date mume wa mtu.
Unamsumbua mwisho anakuchoka anaamua kukupiga mzinga wa hela kukukimbiza,kweli unakimbia.baada ya miezi kadhaa unarudi na kutuma muamala..wewe ni mwanaume wa aina gani?
Hiyo 120k angempa tu mkewe au wanae
Kabisa aggy!!

Umeongea kila kitu
 
Back
Top Bottom