Amerudi analia turudiane

Dah wanawake bwana. Mke wa bro aliondoka maghetoni huku akisema jamaa ni Mzee yeye Bado dogo kama 34 Dem 24 halafu pia akasema Maza ni mwanamke wa hovyo kazaa watoto machizi tu ikiwemo mume na pengine alimaanisha familia nzima.

Akaondoka akaacha watoto watatu mwingine mdogo 4 yrs kwao. Akaenda zake Bongoo kula life. Huko kaishi mwaka 1.4. Maisha yamemshinda akampigia br kwamba narudi kihome boy na ninaumwa sana.

Sijui ndo upwiru Br bila ushauri akamrudisha mkewe ghetto kwake. Bila kupima Ngoma wakaanza kulana. Wanaishi pamoja.

But kiukweli isingekuwa life kufeli Wala Shem asingerudi Kwa yulee aliyemwita Mzee.

Nna hofu sana hata hivyo isijekuwa huyu manzi alirudi na Ngoma coz br hakukumbuka vipimo
 
Imepita muda gani
 
Chukuwa taadhari zOte uMpe nafasi ya pili you never know
 
Usiwe kama bima bima kazi yake ni kukava loss.
 
We jamaa hebu vuta picha kipindi yupo kwa jamaa inapofika usiku amekunjwa kama 7 anapigwa pipe goli 4 -5 , anaamka asubuhi anakunjwa tena kama kambare, alaf vuta picha ikichomoka yeye demu ndio anairudisha chap chap aaah Qummk hebu mwache alie uyo malaya mwanamke usimwamini akimwaga chozi na kutafuta huruma kwa watu
 
Mambo yangeenda vizuri uko alikotoka wala asingekukumbuka so jb unaro mwenyewe
 
Fanya maamuzi ya kiume... mwanamke akienda acha aende usimng'ang'anie
 
heh nguva jike ukapata mrembo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…