Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,303
- 1,884
Kula matapishi tuone ushujaa wakoHabari za jioni.
Nilipataga msichana mrembo kama malaika nakiri mimi mwenyewe nilijisifu kumpata mtoto anavutia mpaka nikawa na wivu kama nyegere...
Misimamo sifuriWanaume Bado tuko wachache sana
DuuChukua UKIMWI huo bro
Wamaanisha huko kwingine alikuwa kwenye ndoa ila kaamua kurudi?...akaenda kwa mwingine lakini mambo huko hayakwenda vizuri akarudi ndoa bado mbichi kabisa.
NdioWamaanisha huko kwingine alikuwa kwenye ndoa?
Huna heshima za kuwa kwenye jukwaa la wastarabu kama hili pole sana.Mkapime afya Kwanza..namaanisha afya ya akiliš„²
Asante. Karibu Tena.Huna heshima za kuwa kwenye jukwaa la wastarabu kama hili pole sana.
Habari za jioni.
Nilipataga msichana mrembo kama malaika nakiri mimi mwenyewe nilijisifu kumpata mtoto anavutia mpaka nikawa na wivu kama nyegere...
Duh..Ndio
Tatizo lilianzia hapaNilipataga msichana mrembo kama malaika nakiri mimi mwenyewe nilijisifu kumpata mtoto anavutia