America's Delta Airlines opens office in Dar es Salaam to start direct flights

Nilidhani siku hizi FUSO ni TURKISH AIRLINES... Mnalishwa na kushibishwa na bei ni poa kama Unaanzia New York - Instambul - Dar

Mkuu TURKISH wapo sawa sawa ndege zao nzuri..

Delta Airlines kwa Kenya walikuwa wanatoka New York's John F. Kennedy International Airport via Dakar Senegal to Kenya.
 
As u said can't wait 4 it. Ile gharama ya stopover itaisha. Mara lala ny mara dubai mara jburg hakuna tena . Raha tu na nadhani nai itakuwa sio ghali.
 
Jamani wakuu Turkish ni nafuu kulikonEmirates ukianzia NY? Nauliza ili niijaribu.
 
ndege itakuwa inatua dar na kuondokea dar . na abiria wengine watakuja kuunganisha hapa wakitokea kenya na uganda kwa kenya airways . watakutana na wenzao wa dar na kuondokea hapa dar.
 
Kwanini watatua na kwa hiyo DIRECT FLIGHT Immediately ?

Kuna EXXON MOBILE; CHEVROLET; APACHE CORP; ConocoPhillips; XTO Energy; The Houston

Exploration
Haya Makampuni CEO na EXEC watahitaji 1st class transportation na unajua Private Jets kwa

long trips sio luxurious
Kama big planes... kwahiyo DELTA itabidi wa supply their best AIRPLANE

kufurahisha wateja sio sisi walala hoi
NI HAO CEO's wanoongezeka kila siku GAS inapopatikana...

hao uliowataja watakuja mara ngapi kwa wiki??

Mkuu, era unayoizungumzia imekwisha, we si unaona delta hata soda unanunua mwenyewe?
 
hakuna hiyo kitu mkuu

hakuna abiria wengi kiasi hicho, they have to use KLM, airfrance, kenya airways nk kuconnect

we may never see any delta aeroplane here, they will sue skyteam partners

ni sawa kabisa mkuu,ila hapo kwenye red nahisi umechapia ni use au sue?
 
hao uliowataja watakuja mara ngapi kwa wiki??

Mkuu, era unayoizungumzia imekwisha, we si unaona delta hata soda unanunua mwenyewe?

Wako Wengi hao... hautaamini Niliudhuria MKUTANO Mmoja wa NETWORK SECURITY wa kuhusu Maeneo

watakayokuwa
anzisha OFISI ... ni muungano wa makampuni 60 Wafanyakazi karibia 2,400 wote toka America

na Corporate Officers Wao ni kama 300; with Multiple Barracuda NG Firewall some wants network security with

openssl ni heavy network investments... kwahiyo utawaona tu...

hao uliowataja watakuja mara ngapi kwa wiki??

Mkuu, era unayoizungumzia imekwisha, we si unaona delta hata soda unanunua mwenyewe?

DELTA International FLIGHT's wanagawa VYAKULA MPAKA unachoka... sio DOMESTIC
 
Wako Wengi hao... hautaamini Niliudhuria MKUTANO Mmoja wa NETWORK SECURITY wa kuhusu Maeneo

watakayokuwa
anzisha OFISI ... ni muungano wa makampuni 60 Wafanyakazi karibia 2,400 wote toka America

na Corporate Officers Wao ni kama 300; with Multiple Barracuda NG Firewall some wants network security with

openssl ni heavy network investments... kwahiyo utawaona tu...

lets say wako 2000, and there are 365 days

how would you divide to get a good business noting that ndege abiria wengi na route ni ndefu?
 
lets say wako 2000, and there are 365 days

how would you divide to get a good business noting that ndege abiria wengi na route ni ndefu?

Hiyo Direct Trip Itakuwa either Once a week or Twice a week; Kwasababu wengine watakuwa na Mkataba

kama Wafanyakazi wa hiyo Barrick GOLD yetu; Wana Different sessions kama sijasahau Unafanya kazi

Miezi 3 straight off
J/Mosi J/Pili halafu Unapata Mwezi wa Nne OFF Unarudi tena Kazini Unafanya kazi

Miezi Mitatu Mwezi wa Nne Off----
Halafu kuna Nyingine Unafanya Wiki 6 Off wiki 6 Unafanya wiki 6 off

wiki 6 kuna nyingine 2; kwahiyo ukianza kazi
Unachagua system gani unayoitaka; Kwahiyo kwa hao kila

Mara Ndege itakuwa inajaa... hapo nimeongelea ambao
Wameisha ajiriwa wanasubiri kuhamia BONGO; na

bado wanaendelea kuajiri na pia wataajiri wabongo wanaoishi USA
ambao ni utitiri as well; na wabongo wa

nyumbani ambao kwa Salary Scale yao wataweza kutembelea USA...

We mbona huelewi, hao patners wanawajua sana na wame mention hapo. sasa unavyosema watawatumia patnersuna maana gani...wao wamesema wanataka kuanza direct flights US to TZ
 
The worst thing is that we learn and gain nothing tangible from all these multinational corporations!!!!!
 
Back
Top Bottom