America's Delta Airlines opens office in Dar es Salaam to start direct flights

Tanzania tutakuwa tu exploited mpaka basi. Ni lini tutapata rais ambaye ni kiongozi wa kweli atakayetumia raslimali zetu kuanzisha airline yetu kama wanavyofanya Kenya, Ethiopea, na kwingineko? Yaani huu ubinafsi wa wachache kunufaika na utajiri wetu unatia hadi aibu. Mungu ibariki Tanzania kwa kuipatia viongozi wenye uchungu kidogo tu na manufaa ya raia wake wote! Mungu tuondolee hawa mafisadi wanaokimbia huku na kule kuombaomba bila aibu huku wakifuja utajiri wa nchi yetu kama vipofu wasio na akili. Baba sikia kilio chetu!
 
Sitaki hata kuisikia hiyo airline, Ina tabia kama za ATC Huko ilikotoka kazi NI kuahirisha safari kwa visingizio. Ukiona Mmarekani kaipanda basi kakosa. Ndege nyingine. Afadhali ingekuwa US AIRLINES
 
Ili airline ya nje ifanikiwe inabidi pia kuwe na process rahisi ya kupata visa. Kwa mfano, niliacha kwenda nje kwa kutumia British Airways kwa kuwa UK wanataka lazima uwe na transit visa ukipitia London, hata kama una connection ya muda wa saa moja. Nikaona ujinga, na kuacha kutumia BA. Hivyo hivyo, haitasaidia Delta kuwa na abiria wa kutosha ikiwa USA wana masharti magumu ya visa, pamoja na transit visa unaposafiri kwenda South America.

South African Airways waliliona hilo, wakakubali kuondoa visa kwa Watanzania japo sisi bado tunawadai visa!
 
Back
Top Bottom