American colonialism

...Si rahisi kumshawishi Askari kanzu akaamini kuwa Ghadafi ni mwafrika.Ujinga nao unawafanya baadhi yetu tusione kwamba Libya inakaliwa na binadamu kama sisi...
Eeh bana eh, mbona unanikandia bila sababu. Wapi nimesema Ghadafi sio mwafrika? Najua hapo ushahidi huna!
 

haya ni mojawapo ya madhara ambayo yamefanywa na huu ukoloni mpya, watu kama hawa waliopungukiwa uwezo wa kufikiri na kutambua mambo rahisi kama haya. Huu ni upunguani wa mawazo. watu kama hawa wanatakiwa kuondolewa miongoni mwa G.T.
 


Mzee wakosea sana. Hata kama unajua mtu yupo mtazamo fulani ni vyema ukambadilisha. Waaarbu na wazungu wote wanatulisha ujinga ambao tusipokuwa makini tutakuwa wahanga wa ideology zao. Kwa maoni yangu hayupo aliye sawa na kumutetea eti ni bora.
 


Oh Please what are you being paid to advocate for the West? Who has enslaved and colonised Africans? Who has caused untoward suffering for the people of Africa by imposing their puppets who ensures that the West continues to milk Africa?

While I do not advocate the change from one master to another, I think it is time that Africans choose for themselves who they will deal with. At least the Chinese don't try to impose their values on others on the guise of democracy (democrazy).

The West shoves their superiority complex on you and then throw some crumbs at you in the name of green card so that you can come and do their menial work while the likes of you celebrate for receiving a token of what has been stolen from you.

I wish you were like Gaddafi who was advocating for the liberation of Africa from the shakles of imperialism. And now he is an enemy and we all like sheep buy the accusation leveled against him, because we are so dependant on what we are told instead of seeking the truth for ourselves.

Honestly your arguements are so naive as pertains to the West that I wonder where you have been.
 
duu! kumbe mazuzu bado wapo! kazi kwelikweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…