kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
China amekuwa mmoja kati ya mataifa yaliyopiga hatua kwa kasi kubwa.ingawa bado inatajwa kama nchi inayoendelea uchumi wao ni imara kuliko mamia ya mataifa.Ni second world largest economy baada ya USA japo watu wanasema through ppp(purchasing power parity) China iko vizuri zaidi ya us.hiki ndio kiini cha utata na propaganda toka kwa mmarekani kuja kwa mchina.
USA anajaribu kwa kila hali kukaa juu ya China.japo yaonekana wanachekeana usoni kila mmoja analake analohifadhi.hivi juzi marekani imewashutumu maafisa watano wa jeshi la china kwa kufanya uchunguzi wa taarifa za watu wengine kinyume na taratibu.
Maafisa hawa waliotunukiwa bango la most wanted ijapokuwa wamegoma juu ya kashfa hiyo na kuiomba USA kufuta shutuma hizo hawajafanya kosa kubwa kuliko lililofanywa na NSA(national security agency) ya marekani iliyoshutumiwa kudukua mawasiliano binafsi ya viongozi wa mataifa kadhaa na raia wao.
America walifika mbali zaidi na kutumia makampuni makubwa kama huawei na Samsung(bila wahusika kujua) katika kudukua taarifa mbali mbali huku snowden ambaye alitoa ukweli huo akisema china ndiye target kubwa kwa America.
Kinachoweza kusemwa juu ya tuhuma hizi ni kujaribu kuchafua reputation ya China na pengine America anakingine anacholenga.Ila kubwa zaidi ni kukaa juu ya china milele.