America vs Iran

America vs Iran

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,523
Reaction score
5,159
Wagonjwa wanazidi kuongezeka huko, kama taarifa inavyojieleza hapo chini
Screenshot_2020-02-10-20-35-55.jpeg
Screenshot_2020-02-10-20-39-49.jpeg
Screenshot_2020-02-10-20-42-33.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump ni kati ya watu wenye vichwa vibovu kwenye hii karne. Niliposikiliza speech yake baada ya hio missile attack niliona anaongea uchwara tu.
Haiwezekani missile ziharibu majengo ya kazi af akosekane hata mtu mmoja aliepata trauma, na wazungu walivyo coz hata mafua tu kwao yanawafanya wawe mdebwedo.

Ati "No casualities" W.T.F
 
Ila hili jambo linaweza kumghalimu pakubwa sana Trump kwenye uchanguzi ujao asipo cheza nalo vizuri maana wapinzani wake wanaweza kulitumia.
Hapa haiitaji elimu ya chuo kikuu ili ujue ya kwamba kuna kitu ambacho marekani inakificha.
Na inavyo onekana hilo shambulizi lilisababisha maafa makubwa sana tofauti na watu wanavyo fikilia.
Iran kusema wanajeshi 80 waliuawa na zaidi ya 200 kujeruhiwa sidhani kama ilikuwa propaganda wenda ikawa kweli ,kwa sababu Iran imejaza majasusi na vibaraka ndani ya mfumo wa utawala nchini Iraq ,kuanzia kwenye vyombo vyote vya usalama kwa hiyo kila kitu kilicho kuwa kinafanyika ndani ya kambi hiyo baada ya shammbulizi Iran alikuwa anajulishwa.
Nawasubili wamarekani weusi watoe mapovu kwenye hii coment.
 
Watakujatu wewe wangojee ila kwan turampet c alisema hakuna hata alopata injury[emoji16][emoji16]

Nakwambia hao tunao ambiwa yakwamba nimajeruhi pengine waishafukiwa kitambo sanaa

Ila mgojea wakat wakampeni ukweli utajulikanika tu

All is well......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu, Mm nawasubiria wale waliokua wakisema marekani itajibu shambulizi Iran
Ila hili jambo linaweza kumghalimu pakubwa sana Trump kwenye uchanguzi ujao asipo cheza nalo vizuri maana wapinzani wake wanaweza kulitumia.
Hapa haiitaji elimu ya chuo kikuu ili ujue ya kwamba kuna kitu ambacho marekani inakificha.
Na inavyo onekana hilo shambulizi lilisababisha maafa makubwa sana tofauti na watu wanavyo fikilia.
Iran kusema wanajeshi 80 waliuawa na zaidi ya 200 kujeruhiwa sidhani kama ilikuwa propaganda wenda ikawa kweli ,kwa sababu Iran imejaza majasusi na vibaraka ndani ya mfumo wa utawala nchini Iraq ,kuanzia kwenye vyombo vyote vya usalama kwa hiyo kila kitu kilicho kuwa kinafanyika ndani ya kambi hiyo baada ya shammbulizi Iran alikuwa anajulishwa.
Nawasubili wamarekani weusi watoe mapovu kwenye hii coment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu hawaelewi maana ya concussion wamebaki kushabikia ujinga,jf imepoteza hadhi ushabiki wa kijinga kabixa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio kujua hilo ttzo nilipi MKUU tatizo Nihilo Tatizo Limesababishwa Na Nini Na Kwa Nn ?!

Na Hao Waliosababishiwa Hilo Tatizo Walisemaje Kabla Ya Hilo Tatizo Halijatokea ?!

Nawakati DT Anaudanganya Umma Wa wa US kwamba Hakuna Tatizo lolote lililotokea baada ya lileshambulio alikua na maana gani ?!

Kwenye hili jambo maswali ni Yakutosha sana ila majibu yake sasa ndio shida tupuu

US Ipo Siku Watausema Ukweli Juu Yahili Jambo Nisuala Lamuda Tu kbla ukweli kujilikna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump alikuwa anaichimba biti Iran na kuitisha baada ya kumuua Qaseem Solemani ili waogope,kinyume Iran ikafanya kweli bila kuogopa,kitu ambacho marekani haikutarjia.Kama kuna mtu makini alifuatilia yale matukio,kuna tetemeko la ardhi lilitokea kusini mwa Iran,Trump akasema ni tetemeko la asili tu,kitu ambacho sio cha kweli, ukweli ni kwamba Iran ilifanya "under ground nuclear test" kuitisha marekani.ukweli ni kwamba wanajeshi wa marekani walikufa sana.
 
Ipo siku watakuja tu kuusema ukweli

Baada Ya MUNGU Muumba Iogope Sana Teknolojia Rugemalila Mutahaba[emoji419]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom