Amepoteza vitambulisho vyake.

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,349
Mwenye picha hii anaitwa Ibrahim Besta Mkanga.Ni mkazi wa Mzinga Ilala.Vitambulisho vyake vifuatavyo vimeokotwa na kuletwa ifisi ya S/Mtaa Kibangu.
1 Kadi yake ya CCM
2Kadi ya UVCCM
3 Kitambulisho cha Uraia
4Bima ya Taifa ya afya
5 Uanachama NSSF
6 Mpiga kura
7 NMB
8 Azania Secondary School
9 CRDB
Documents hizi ni nyingi na atapata shida kupata mpya.Naomba ukipata ujumbe huu urushe kwenye magroup mengine.Mawasiliano yangu ni 0713515744
 
Kijana mdogo hivyo anamiliki kadi ya ccm?.
Ningeviokota mimi ningevichoma.
Nina chuki sana na ccm.
 
Kijana mdogo ila ndio hivyo ana Mahaba niue na kijana ,
Mbona huwa mnawalaumu wazee.?
Haya kijana ni vema kuheshimu maamuzi yako au ya kila mtu kama huvunji sheria.
 
Mkuu nunua simu,tecno sio simu ni takataka,hiyo picha ukungu mtupu,this is 2018..
 
Amefanya makusudi kuvipoteza lengo lake analijua mwenyewe na wenye akili ya ziada
 
Kumbe liccm ningekuwa nimeokota mie ni moto vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…