Amenizidi miaka miwili

Amenizidi miaka miwili

banalunda hiyo miaka 2 midogo sana na hata angekuzidi miaka 20 kama mnapendana haina shida we kuwa na amani.
Mi nakuombea heri kabisa na mchumba wako mfike kule mnakotarajia
 
Last edited by a moderator:
Nashukurun sana wakuu kwa ideas zenu! Ishu ni kwamba nilikuwa nataka kujua hata kama mbeleni hatakuja fahamu is it good or bad? then tuko mbali coz hata tuna malengo ya kufika kwa ndoa, so generally naona hili si tatizo
 
duh! huyo kama bibiyako vile kama vp mpotezee tu
 
miaka 2 sio ishu mweleze ukweli umri wako endelea na mipango
 
Mimi naona mwanamke akishakuzidi kwa maisha ya kibongo ni lazima azeeke kabla yako ...ila sijui prefference zako kwenye huo uhusiano wenu ni nini....ila kama ni mvuto wa nje imekula kwako mkuu.....labda kama una sababu nyingine ya kumpenda....
 
banalunda hiyo miaka 2 midogo sana na hata angekuzidi miaka 20 kama mnapendana haina shida we kuwa na amani.
Mi nakuombea heri kabisa na mchumba wako mfike kule mnakotarajia

tatizo alishamdanganya kwamba amemzidi. Mpaka mwanamke akakubali kwamba amemzidi umri watakuwa wameshaachana. Wanawake ni wagumu sana kukubali hali hiyo mpaka atakapokuwa desparate unabeba kirahisi.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sioni tatizo kama nyinyi mnapendana go for your happiness and what your heart desires,friends do advice you but not decide for you,wewe ndo unaemjua mwenz wako anayapi na kapungukiwa na yapi kama umeyaridhia yote go ahead for your happiness broh,unaeza tafuta under age akakupa wazimu,
Waswahili husema,"mpenda boga sharti apende na maua yake"
Unampenda yeye na sio umri wake so take it easy kubali tu ni mambo madogo na its hard for people kujua unless uwaambie
 
tatizo alishamdanganya kwamba amemzidi. Mpaka mwanamke akakubali kwamba amemzidi umri watakuwa wameshaachana. Wanawake ni wagumu sana kukubali hali hiyo mpaka atakapokuwa desparate unabeba kirahisi.

kwani akiendelea kumdanganya hivyo hivyo kuna ubaya gani???
 
Mapenzi hayana umri wala kabila imradi dushelele inazama na kutoka
 
Customs and practices always not written.




are u needy of some more lecture?

mila na desturi we hapo ulipo unafata mila na desturi????hata jina lako lenyewe halifati mila na desturi.
Msitake kuwaachanisha watu mapenzi yao kwa vitu ambavyo havina mashiko.

banalunda hata akijua hapo mbele wala haidhuru kitu mie ni mwanamke mangapi tunaongopewa na ukijua au akikwambia ukweli unamsamehe kama kweli anakupenda atakusamehe kuwa na amani wish you all the best.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom