Amenitenda ila bado ananing'ang'ania!

Amenitenda ila bado ananing'ang'ania!

Mmekutana wote wasanihi. Kaeni chini myamalize. Unavyoendelea kukaa kimya na yeye anapoteza muelekeo. Fanya maamuzi. Halafu sijui kwa nini wanaume wa siku hizi hamna maamuzi wenyewe kukaa kimya au kukata mawasilino ndio solution.

Kama uliweza mwanzoni kumfuata na kumtongoza, linapotokea tatizo ugumu unakuwa wapi kumfuata tena na kuongelea mustakabali wenu!

Vidume mmekuwa makoko now days! hamjui muamue nini ktk mahusiano yenu,,,ukiona halipi tupa kule,,,, ila ukiona kuna fyucha mwambie nimekusamehe ila ukirudia tena nakukata masikio. kwani we ndo ulimtoa bikira... si kuna mtu alikuwa anamramba... acha ufala toa maamuzi,,, mbona wkt wa kumpenda hukuleta hoja hapa... alafu ikishamuoa tu migogoro ya ndania ya nyumba ndio nyie mnapeleka kwa washkaji si mshazoea jf ndo suluhisho... jifunze kutumia kichwa yako ktk matatizo yako binafsi. malalamiko tu hata kwenye pooor solution aghaaaaaaaaaaaa.
 
hivi mbona mnaendekeza mapenzi na shule? mbunye zipo tuuu haziishi
 
Kwanza rekebisha heading, anakung'ang'ania au wewe ndo unamg'ang'ania? Swala akikurupushwa alilipolala, huwa harudi tena eneo hilo! Unafikiria fikiria nini tena, kwani ulikuwa unachimbua madini humo! Shauri yako.
 
Hapo umenifurisha kitu kimoja usimng'ang'anie..maisha bila mapenzi ni kweli sio ya furaha ila yana Amani..
 
Vidume mmekuwa makoko now days! hamjui muamue nini ktk mahusiano yenu,,,ukiona halipi tupa kule,,,, ila ukiona kuna fyucha mwambie nimekusamehe ila ukirudia tena nakukata masikio. kwani we ndo ulimtoa bikira... si kuna mtu alikuwa anamramba... acha ufala toa maamuzi,,, mbona wkt wa kumpenda hukuleta hoja hapa... alafu ikishamuoa tu migogoro ya ndania ya nyumba ndio nyie mnapeleka kwa washkaji si mshazoea jf ndo suluhisho... jifunze kutumia kichwa yako ktk matatizo yako binafsi. malalamiko tu hata kwenye pooor solution aghaaaaaaaaaaaa.

Duuu! Dadii umenipakaje! Lkn ahsante japo makali nitachanganya na yangu
 
Kwanza rekebisha heading, anakung'ang'ania au wewe ndo unamg'ang'ania? Swala akikurupushwa alilipolala, huwa harudi tena eneo hilo! Unafikiria fikiria nini tena, kwani ulikuwa unachimbua madini humo! Shauri yako.

Mh! Hv umeuelewa huo mthread mashimba
 
Mh! Kazkwelkwel!! Mapenzi bana!! Japo umenichangnya kdog na usimuliaj wako but unaonekan bado unampenda.so take her 4 your own hapness!!

Yanaua (kwa risasi, kisu, sumu, stress etc)
 
kama ulimzoesha hela tangia awali lazima mambo kama hayo yatokee
 
dafuq....i'm still single and don't give a shit
 
dafuq....i'm still single and don't give a shit

nipe namba yake na mimi ni test kwa namba mpya kama akikutaja wewe bora uachane nae kwani ni muongo ila kama akimtaja wa mara ya kwanza ujue kweli anakupenda
 
mhm huyo dada kakaa kimgegedo gegedo tuu. ebu endelea nae kupata utamu ila sio wakuoa
 
Back
Top Bottom