Amenitenda ila bado ananing'ang'ania!

nyota njema huonekana asubuhi
 

mkuu waungwana wanasema ''sometimes SILENCE is the best answer"" we piga kimya tu acha ajifarague weee wala ustake kuulizia
 
Piga chn mpuuzi huyo yaani kumwambia uko juu ya mawe anakuletea kejeli! Pambaf sana
Pata like yangu.Hapo hakuna mwanamke,huyo amekaa ki-ATM zaidi.Hawa viumbe wa ajabu sana.
 
huyo hafai kwa future kama vip timua tu au kama kuna vitu umebakiza malizia malizia uondoke!
 
hawa wanachuo jama

mihemuko tu wakimaliza baas watanyooka

bybthe way "mwalimu kijana" hapo huna mke/mchumba yupo kimaslahi zaidi. Unaona raha huyo mume mwenzio wa first year kuchunwa? unahakikishaje kuwa hawajasex? yaani amhonge tu bhaaaas? Umeshamgegeda au bado?
 

Mwenzako yupo kichapaa zaidi. Hapo anakuzuga 2 eti huyo jamaa ni rafiki 2, ohoo.. sijasex nae... hayo yote hayana tija na kama una akili timamu hauhitaji king'amuzi cha aina yoyote kung'amua hili suala. Tulizana na umwombe mungu akupe ambaye mnaendana. Kama angekuwa mvumilivu angekuwa anakufariji na kuangalia namna ambayo mngweza kutatua shida mbalimbali zilizokuwa zinawakabili. KUWA NA MSIMAMO. EPUKA KUYUMBA. BE A REAL MAN.
 
kumbuka hata wewe alikuwa anakita Mume/beby ili umpe hela na kumtatulia shida zake!! ndo maana ulipokosa hela mapenz yakapungua na kuaanza kujibebisha kwa mwingine:

Ushauri wangu me naona mpotezee coz hala love ya kweli na atakuja kukuumiza zaid huko mbele. Inshot yupo kimasilai zaid!!
 
We mwalimu!tafuta mtu wa level yako,huyo binti humuwezi,we huna hela..kaa mbali nae kabisa.
 
mihemuko tu wakimaliza baas watanyooka

bybthe way "mwalimu kijana" hapo huna mke/mchumba yupo kimaslahi zaidi. Unaona raha huyo mume mwenzio wa first year kuchunwa? unahakikishaje kuwa hawajasex? yaani amhonge tu bhaaaas? Umeshamgegeda au bado?


Inawezekana mbona
Unakula bola kuliwa akili yako tu
 
Unajua kama mwanaume umapaswa kumjua mweza wako!!
CONS»Kila mwanamke anagongeka kwanza jua ilo!! Weakness ake ndo wew unapoikazia apo apo..
PROS»mwanamke anauwezo wakugongea na mwanaume mmoja kama kweli anampenda na kumwamini ata kama weakness ake inafahamika na mjemba ata mia
SaSa kwa situation ako mkuu!!...dah weakness ake uyo ni PEsA nzuri yakumu handle lifestyle yakE!!..apO cjui kama theory angu itakua ceteri paribus au ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…