Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

Ila tusimseme vibaya mapenzi ndivyo yalivyo huyu binti anatafuta amani ya moyo wake anatafuta mtu
atakayekua na raha nae ila kwa kijana itaamuma sana ndo yanatokea mambo yalee ya ufoo saro
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.

Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha.

Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo sio mshamba kama huyu wa zamani.

Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?

sasa ukitaka kupigwa na laana lete huo ushamba na usharobaro wako, kwani hao wasomi hawakuwepo zamani acha ubiafsi bhana. na huo u freemason unaouogopa si angeshakutoa kafara zamani tu wala asingeingia gharama kukusomesha kafara gani linataka msomi. hiyo akili ya kuzaliwa ndiyo imekusomesha na kukukuza mpaka sasa. na pia kwa nini usimsaidie na yeye asome japo dogo? basi kwa taarifa yako usomi ni zaidi ya kufika chuo wewe ulichopata ni nyenzo tu ya kutafutia chakula kwani wasomi wapo havard au yale university, au la ungekua msomi ungefikiri zaidi ya ulivyofikiri sasa. mimi namalizia kwa kukuambia kua hukupata ukimwi na huyo unayemwita mshamba lakini ukimsaliti ngoma ndiyo adhabu yako na usomi wako utakua umekomea hapo, kwa heri dada, akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Mi kuchangia mada kama hizi siwezi ww MKINDE mbona unanitafutia burn ya mwaka mzima
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli nimependa wanajamii mlivyo na moyo Wa huluma uyo Dada mi simshauli chochote IPA ushauli Wang Hi kwa wanajamii tuweze kumlaani BYU shetani Wa like asiye name moyo Wa kumbukumbu
 
dah!!!unajariwa hvy hlf unaleta pozi la kibwenge.......hebu nipe namba mie niwe na huyo mshamba sbb nahitaji kujaliwa plus kusafiri kwa verossa mie.
 
Yani uyu shetani Wa kike kaniuzi mpaka mikono Yang inashindwa kutype basi tu namuombea apate upofu Wa week moja aone nani atakaye mjali kama uyo bwana alivyo mjali kipindi chote cha shida yani angekuwa uku kwetu msoma angesema tu
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.

Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha.

Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo sio mshamba kama huyu wa zamani.

Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?
Halafu mkija pigwa risasi ndugu zako waaanze kulalama....
 
Hivi jamani mtoa mada bado yuko hai maana leo ni December na hii mada yake alitoa March? Kama alichukua uamuzi wake wa kumuacha jamaa may be she is no longer with us, najaribu kuwaza tu
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.

Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha.

Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo sio mshamba kama huyu wa zamani.

Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?
dah!nimekubali kua kumwanini mwanamke ni sawa na kuanini kua ngamia mmoja anaweza kunywa maji ya bahari ya pasific kwa siku moja yakaisha,nimekubali pia katika maisha mwanamke asikuzidi kiwango cha elim ya darasani,ni sawa na kujikaanga kwa mafuta yako mwenyewe,hii inanifanya nisifikirie kuoa kabisa kama wanawake wenyewe ndio hawa wacha niwe mtawa,hii pia imenikumbusha matukio mengi sana ya huko nyuma kwa ngd na jamaa zangu baada ya wake zao kwenda ulaya na kurudi na vi phd vyao nyumba zikawaka moto.Mungu niepushe na mambo km haya ntakuja kumuufosaro mtu
 
Mmmmmh
 
Attachments

  • 1386959622417.jpg
    1386959622417.jpg
    15.5 KB · Views: 138
Ila tusimseme vibaya mapenzi ndivyo yalivyo huyu binti anatafuta amani ya moyo wake anatafuta mtu
atakayekua na raha nae ila kwa kijana itaamuma sana ndo yanatokea mambo yalee ya ufoo saro

Mkuu huyu dada ni -------- tena mshenzi. Kijana wa watu sijui mkinga kakosa elimu sababu wazazi yawezekana walikuwa hawana hela. Kaingia kutafuta hela kazipata na kuamua kumsomesha aliyefikiri atakuwa mke ili amsaidie kwenye mipango sasa hivi anamuita freemason! Angemuoa bila kumpeleka shule leo si angekuwa analea watoto?
 
Back
Top Bottom