Amenisaliti mara ya pili

Amenisaliti mara ya pili

Kuwa jasiri basi miezi 8 unalia lia tu.Kuna relations zilizokaa zaidi ya miaka kadhaa na kuvunjika.Vipi na wao wakianza kulia? ww na tumiezi 8 utasikilizika???
 
Kuwa jasiri basi miezi 8 unalia lia tu.Kuna relations zilizokaa zaidi ya miaka kadhaa na kuvunjika.Vipi na wao wakianza kulia? ww na tumiezi 8 utasikilizika???

Tulia basi kiongozi....
 
Mapenzi mabaya sana pale ambapo wewe unataka hold on mwenzako anaachia. Ni kama watu wawili wanaovuta rubber band atakaeachia atamuumiza aliyeendelea kushikilia. Nilikua na mpenzi wangu tulidumu miez 8 akanipiga chini, baada ya miezi 4 tukarudiana baada ya kudai kuomba msamaha.

Baada ya miez 5 kaonyesha hataki tena kuendelea nami. Usaliti wa mwanzo ndio uliniuma sana, huu wa pili sijasikia maumiv hata kidogo coz mimi pia nilikua mguu ndani/nje. Never trust a woman.Hii ya sasa imechangiwa na mimi kuhamishwa kikazi huku kanda ya ziwa na yey ebado anasoma chuo makao makuu ya serikali, dodoma. Hapo mwanzo tulikua wote Dom lakini likizo tulikua tunaenda wote Dar.

Kuna kajamaa kanakula mzigo, juz ju mi nilienda Dom akanipa k katika hali isiyo kawaida. Kupepeleza vizuri ndio nikagundua hivyo. Nilikua nimebanwa na majukumu yaliyonipeleka sikupata muda wa kusort. Niliporudi nikalianzisha naye akashindwa kukataa coz nna evidence za kutosha. Wanawake watu wabaya sana hivi unakuwaje na mabwana wawili? Mi nimemwacha tu in peace wenzangu mngefanyaje?

Demu akizengua mwache aendezake ucmng'ang'anie uwez jua labda anakuepushia ukimwi chapa lapaa jombaaa
 
Back
Top Bottom