Amenisaliti mara ya pili

Amenisaliti mara ya pili

Yaani hawa jamaa wanashangaza sana. Utafikiri hao mademu wana hati miliki nao.

Pumbaf sana..

inaelekea we sugu wa kushare! huna hata unayemwita wako? simply because huna hati miliki? umetishaaaa!
 
mimi mtu akinisaliti na nikajua
basi nitarudianaa nae kwa mawili
1.KUMUACHA BILA YEYE KUJUA
2,KUMULIPIZA

ila mara zote sirudiii mtu aliefanya kosa la uzinzi ni bora AWE BROKE,AKAIBA ELA AKATUMIA AU VYOVYOTE VILE yaani bora tabia chafu yoyote ile ika sio hiyo maana sisamei
 
Masai dada sirudii tena nimekoma
 
Kama kichwa chote kingekuwa jicho masikio yangekaa wapi? Ni lazima tukubali Mungu ametuumba wengi na kila mmoja kwa namna yake. Tusipende kushangaa kwa vitu visivyoshangaza. Kutendwa ni nini ktk dunia ya leo.. Wengi kama sio wote tumekosa uaminifu. Kama mama sio muaminifu, baba anaitwa ATM, mtaani wake & waume za watu hawajiheshimu, maofisini rushwa za ngono zimetamalaki. Wapi unampata mtu muaminifu? Tukumbuke mazingira yaliyomzunguka mtu ndio hayo hayo humjenga.
 
Mapenzi mabaya sana pale ambapo wewe unataka hold on mwenzako anaachia. Ni kama watu wawili wanaovuta rubber band atakaeachia atamuumiza aliyeendelea kushikilia. Nilikua na mpenzi wangu tulidumu miez 8 akanipiga chini, baada ya miezi 4 tukarudiana baada ya kudai kuomba msamaha.

Baada ya miez 5 kaonyesha hataki tena kuendelea nami. Usaliti wa mwanzo ndio uliniuma sana, huu wa pili sijasikia maumiv hata kidogo coz mimi pia nilikua mguu ndani/nje. Never trust a woman.Hii ya sasa imechangiwa na mimi kuhamishwa kikazi huku kanda ya ziwa na yey ebado anasoma chuo makao makuu ya serikali, dodoma. Hapo mwanzo tulikua wote Dom lakini likizo tulikua tunaenda wote Dar.

Kuna kajamaa kanakula mzigo, juz ju mi nilienda Dom akanipa k katika hali isiyo kawaida. Kupepeleza vizuri ndio nikagundua hivyo. Nilikua nimebanwa na majukumu yaliyonipeleka sikupata muda wa kusort. Niliporudi nikalianzisha naye akashindwa kukataa coz nna evidence za kutosha. Wanawake watu wabaya sana hivi unakuwaje na mabwana wawili? Mi nimemwacha tu in peace wenzangu mngefanyaje?
Tungemsukuma nnya kabla ya kumwacha.:becky:
 
nimesoma thread tatu zote wanaume wanalalamika pole sana mkuu.

ombi langu kama yupo dodoma na umeamua kumwacha naomba namba yake nikulipie kisasi mimi pia nipo dodoma na kama ni mwanafunzi hawezi chomoa ofa yangu.
 
mimi mtu akinisaliti na nikajua
basi nitarudianaa nae kwa mawili
1.KUMUACHA BILA YEYE KUJUA
2,KUMULIPIZA

ila mara zote sirudiii mtu aliefanya kosa la uzinzi ni bora AWE BROKE,AKAIBA ELA AKATUMIA AU VYOVYOTE VILE yaani bora tabia chafu yoyote ile ika sio hiyo maana sisamei
Kwa mtaji huu utawaacha wangapi kabla ya kustaafu?
 
nimesoma thread tatu zote wanaume wanalalamika pole sana mkuu.

ombi langu kama yupo dodoma na umeamua kumwacha naomba namba yake nikulipie kisasi mimi pia nipo dodoma na kama ni mwanafunzi hawezi chomoa ofa yangu.

We jamaa mbona unataka kuniuzia kesi
 
nimesoma thread tatu zote wanaume wanalalamika pole sana mkuu.

ombi langu kama yupo dodoma na umeamua kumwacha naomba namba yake nikulipie kisasi mimi pia nipo dodoma na kama ni mwanafunzi hawezi chomoa ofa yangu.

Yuko na penzi jipya hilo utambue kwa kutikisa hiyo ndoa inabidi ujipange. Ni PM (Natania)
 
Mapenzi mabaya sana pale ambapo wewe unataka hold on mwenzako anaachia. Ni kama watu wawili wanaovuta rubber band atakaeachia atamuumiza aliyeendelea kushikilia. Nilikua na mpenzi wangu tulidumu miez 8 akanipiga chini, baada ya miezi 4 tukarudiana baada ya kudai kuomba msamaha.

Baada ya miez 5 kaonyesha hataki tena kuendelea nami. Usaliti wa mwanzo ndio uliniuma sana, huu wa pili sijasikia maumiv hata kidogo coz mimi pia nilikua mguu ndani/nje. Never trust a woman.Hii ya sasa imechangiwa na mimi kuhamishwa kikazi huku kanda ya ziwa na yey ebado anasoma chuo makao makuu ya serikali, dodoma. Hapo mwanzo tulikua wote Dom lakini likizo tulikua tunaenda wote Dar.

Kuna kajamaa kanakula mzigo, juz ju mi nilienda Dom akanipa k katika hali isiyo kawaida. Kupepeleza vizuri ndio nikagundua hivyo. Nilikua nimebanwa na majukumu yaliyonipeleka sikupata muda wa kusort. Niliporudi nikalianzisha naye akashindwa kukataa coz nna evidence za kutosha. Wanawake watu wabaya sana hivi unakuwaje na mabwana wawili? Mi nimemwacha tu in peace wenzangu mngefanyaje?

iMind leta bakora tumchape huyu mvulana anatuaibisha wanaume alaaa......kuanzia sasa ivi kimbia na ukimrudia utanitambuaaa......my eyes on u
 
nimesoma thread tatu zote wanaume wanalalamika pole sana mkuu.

ombi langu kama yupo dodoma na umeamua kumwacha naomba namba yake nikulipie kisasi mimi pia nipo dodoma na kama ni mwanafunzi hawezi chomoa ofa yangu.

Yuko na penzi jipya hilo utambue kwa kutikisa hiyo ndoa inabidi ujipange. Ni PM (Natania)

Hahahah mkuu kama kwel hutaki kurudiana nae mpe no kiongozi akusaidie kulipa kisasi

Just kidding :😉😉😉
 
Mkuu umenenaa mm leoo hii nimemfuwaa wanguu akishhukuriwaa na mwanaumee mwingie SMS inasemaa hivii"baby asante Sana'a Leo kwa kunipaa kotekote yaan nime enjoy Sana'a na hyoo lakii nilyokupaa n ndogo nitakuongezea kesho nyingine baby Wang""dem nayee akijibu " poaa baby wangu nitakupaa jinci utakavyoo"daaaaa kiukwelii nimeshindwaa cha kumfanyaa huyuu dem nimemtimuaa tu lkn anavyonisumbuaa mpk nataman kubadilishaa nambaa

kwa lile saga lako ungebadilisha tu namba mkuu, vinginevyo atakusumbua kila wakati kila siku

Huyo mchepuko usifikiri ana future naye, alikuwa anamlaa tu bila malengo, na mwanamke kilichomponza ni tamaa ya kuhongwa. So ataendelea kukusumbua mana anajua kule hana nafasi zaidi ya kuliwa tu kwa malipo
 
Masai dada eti nimpe namba shelat? Cybercrime je?
CC: Masai dada
 
ACHA NAE HUYO MWANAMKE DUNIA ITAMFUNZA

usimpe namba muache tu na mambo yake yaani usishughulike kwa lolote
mteme tu ki sela

YAANI NATAMANI NINGEKUPA MOYO WANGU

MIMI KAMA TUMEFIKIA MWISHO SINA MUDA NA WEWE KABISA
usitumie nguvu nyingi kuachana na mtu uliekutana nae uzeeni

just muache tu
UKIMPA NAMBA HUYO JAMAAA AKAMLA wewe hufaidiki na lolote
BA USIPOMPA PIA wewe ufaifiki na lolote
muahe dunia itamfunza tu
 
kwa lile saga lako ungebadilisha tu namba mkuu, vinginevyo atakusumbua kila wakati kila siku

Huyo mchepuko usifikiri ana future naye, alikuwa anamlaa tu bila malengo, na mwanamke kilichomponza ni tamaa ya kuhongwa. So ataendelea kukusumbua mana anajua kule hana nafasi zaidi ya kuliwa tu kwa malipo

Ndivyoooo ilivyooo.....
 
wanaume wawili kitugan?mwenzio ananguvu kaona we pekeako humtoshi endelea kuesabu wanao msuuza tu hahaaha!!
 
Back
Top Bottom