Wanawake akili zao wanazijua wenyewe,halafu akishapitiwa ataanza kusema yani wanaume wote ni waongo na malaya.Hivi mpk unafikia umri huo huwezi kujua kuwa the more unavyompa mwanaume room ya kuwa karibu na wewe na kukuletea utani kuwa anakutaka hujajua kuwa mwisho wa siku utaingia line,tena kwa picha hii ninavyoiona huyu jamaa atakuja kuwapitia wote mtu na dada yake...