mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 555
Aandike na wosia kabisaNa hata kupima hujapima aiseee nchi ina vijana wa hovyo sana.
Mkuu fungua account benk weka pesa za kutosha kadi na password weka sehemu ndugu wataona ili usije wapa mzigo wa matibabu,sanda,gharama za msiba.
Shukrani kaka,nitatekelezaUtakuja pigwa tukio moja hautoamini mkuu, hakuna mtu anaweza kubali kufanya hivo kwa miaka hii ya sasa.
Hapo anakulia timing moja kali sanaa uingine 18 zake,
Play smart brother, bi*ches ain't loyal
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, ni kuja na kuliwa atoke. Mainly atakuwa anakuja lodgesasa mkuu hizo siku 56 utakazokuwa unamgegeda utakuwa unaishi naye hapo nyumbani au?
Gharama za lodge kwa siku 56 itakuwa ni bei gani? na nauli ya yeye kuja kila siku ni jukumu la nani?Hapana, ni kuja na kuliwa atoke. Mainly atakuwa anakuja lodge
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Demu wa uswahili sio demu? Kitendo cha demu kuishi uswahilini kinamwondolea sifa gani kiasi cha kusema hatakiwi kuwekwa kwenye kundi la mademu?Huyo demu ni wa uswahilini, eti nauli 500, na unamgegeda siku zote hizo kisa 50k. Hamna demu hapo!