sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,052
- 1,306
- Thread starter
-
- #101
Napa wakati mwingine inaondoa sumu mwiliniUna bahati sana wewe. Dawa haijaingia vizuri ndio maana unaweweseka na kuomba ushauri. Ngoja agundue dozi ilikuwa ndogo, utapigwa dozi ya mtu mwenye kilo 500!!
Hebu hapa niweke sawa Maana kunasiku aligusia Hilo swala la kunipigia mboga iliyoungwa na karanga
AminaKama umeligundua hilo basi ushapona. Sema Amina
achana na id na picha we soma comment tuI D yako na hiyo picha sasa
Hakuna kitu kaka, ni ulimbukeni wako tuHabari wakuu
Ninadate na manzi mmoja matata hivi tunakaa maeneo tofauti ya hapa jijini, mwezi ulioopita alisafiri akaenda kwao huko (mkoani), nikamwambia bebe niiletee kitu cha huko, kweli aliniletea korosho zinafika nusu kilo hivi,
Akaniambia hii zawadi yako so kula peke yako, nilizikandamiza zile korosho kama siku mbili hivi kudadadeki zikaisha, nikatimiza ahadi ya kula peke yangu maana siku hizo mbili alikuwa yuko geto siku ya tatu ndio akaenda kwao,
Wakuu kinachonishangaza ni hiki huyu manzi sasa ninampenda kuliko kawaida halafu atakachoniambia huwa sipingi, Wakati mwingine nikiwa naye nakuwa sijielewi kabisa huwa nafanya chochote anachoniambia , akitoka nikifikilia huwa nagundua kuwa kuna jambo sikuitakiwa kufanya,
Hii hali ina mwezi sasa, siwezi kupindua jambo lolote kwake, juzi kaniambia ratiba ya kukutana kwa mwezi Mara nne yaani kila wiki Mara moja tu, akikuta pesa anachukua bila kuomba (hii haikuwa Tabia yake) kuna vitu vingi vimetokea kwa mda mfupi tangu arudi, mpaka nikiwa mwenyewe na kufikilia naona si kawaida.
Sizonjemadawa
Nasimaje bila kuangalia I D Na picha wakati mtu mwenyewe rangi ya mtumeachana na id na picha we soma comment tu
we angalia vizuri ila usije nianzishia thread ya kukurogaNasimaje bila kuangalia I D Na picha wakati mtu mwenyewe rangi ya mtume
Hahanah inzi akifia kwenye kidonda ni haki yakewe angalia vizuri ila usije nianzishia thread ya kukuroga
Unaroho mbhayaa we jamaaImewasaidia wengi
changany petroli na mafuta ya taa mil.100 kunywa
kila mkitaka kukutana,
afu ulete mrejesho
Afande hebu Dadavua maelezo yako tafadhaliutaliwa soon sasa