sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,052
- 1,306
Balaa hilo mkuuHabari wakuu
ninadate na manzi mmoja matata, ivi tunakaa maeneo tofauti ya hapa jijini, mwezi ulioopita alisafili akaenda Kwan huko (mkoani), nikamwambia be be niiletee kitu cha uko, kweli aliniletea korosho zinafika nusu kilo hivi, akaniambia hii zawadi yako so Kula peke yako, nilizikandamiza zile korosho kama siku mbili ivi kudadadeki zikaisha, nikatimiza ahadi ya kula peke yangu maana siku hizo mbili alikuwa yuko geto siku ya tatu ndio akaenda kwao,
Wakuu kinachonishangaza ni hiki huyu manzi sasa ninampenda kuliko kawaida alafu atakachoniambia huwa sipingi, Wakati mwingine nikiwa nae nakuwa sijielewi kabisa huwa nafanya chochote anachoniambia , akitoka nikifikilia huwa nagundua kuwa kuna jambo sikuitakiwa kufanya, hii hali inamwezi sasa, siwezi kupindua jambo lolote kwake, juzi kaniambia ratiba ya kukutana kwa mwezi Mara nne yaani kila wiki Mara moja tu, akikuta pesa anachukua bila kuomba (hii haikuwa Tabia yake) kuna vitu vingi vimetokea kwa mda mfupi tangu arudi, mpaka nikiwa mwenyewe na kufikilia naona si kawaida.
Sizonjemadawa
"...wenye tatizo kama lako, wengi walishafunguliwaaaaa, njoo ufanyiwe maombiiii" I like this songHabari wakuu
ninadate na manzi mmoja matata, ivi tunakaa maeneo tofauti ya hapa jijini, mwezi ulioopita alisafili akaenda Kwan huko (mkoani), nikamwambia be be niiletee kitu cha uko, kweli aliniletea korosho zinafika nusu kilo hivi, akaniambia hii zawadi yako so Kula peke yako, nilizikandamiza zile korosho kama siku mbili ivi kudadadeki zikaisha, nikatimiza ahadi ya kula peke yangu maana siku hizo mbili alikuwa yuko geto siku ya tatu ndio akaenda kwao,
Wakuu kinachonishangaza ni hiki huyu manzi sasa ninampenda kuliko kawaida alafu atakachoniambia huwa sipingi, Wakati mwingine nikiwa nae nakuwa sijielewi kabisa huwa nafanya chochote anachoniambia , akitoka nikifikilia huwa nagundua kuwa kuna jambo sikuitakiwa kufanya, hii hali inamwezi sasa, siwezi kupindua jambo lolote kwake, juzi kaniambia ratiba ya kukutana kwa mwezi Mara nne yaani kila wiki Mara moja tu, akikuta pesa anachukua bila kuomba (hii haikuwa Tabia yake) kuna vitu vingi vimetokea kwa mda mfupi tangu arudi, mpaka nikiwa mwenyewe na kufikilia naona si kawaida.
Sizonjemadawa
Habari wakuu

Peleka jina lake sentro mkuu itakuwa kakuwekea madawa ya kulevya!Habari wakuu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] LOLESTKwani korosho zake si ulikula peke yako tena hukuja hata kuomba ushauri!
Ukitaka kula kubari uliwe kidogo
Mkuu ukipigwa ile kitu hata fahamu za kuja kuandika humu huwezi kuwa nazo labda ni small scaleHabari wakuu