Ikitokea, usirudishe.. Mgeuzie upande wa Pili...
Akithubutu kupiga kwa mara ya pili, basi huyo Kakusudia akiwa na akili timamu.
Unachotakiwa kufanya:
Mshike Shingo muegemezee ukutani, Kunja ngumi (Vizuri) Piga kwa nguvu pembeni ya Uso wake (Piga Ukutani).. Piga hata tatu.
Then muachie, ondoka.
Hatorudia hata kufoka mbele yako.