Ameniblock na kuninunia

Kwenye umri hpa ungeuainisha ungeshauriwa vizuri mnoo... Narudia umri tu
 
Mkuu upo sahihi kuna demu wang X wangu kaniambia kujishusha kwa mwa namke ni kuonekana ww boya nimehis aibu sana
 
Acha tabia ya kuforward forwad kila sms unazopokea mkuu..

Mimi mtu yoyote mwenye tabia hiyo nablock fasta, hata kama ni mshkaji siwezi ona sms yake tena
 
Kwa hiyo wewe bado hujafahamu tu??.
 
sometime wana tabia za ajabu sana hawa viumbe.
Tulikuwa tunapenda sana huko nyuma ila sasa ni balaa😥😥😥nampenda yeye tu japo kuna demu ananizimia sema ni single mother simtaki demu anitaki pesa ninazo 😥😥ila hataki pia mwaka ukiisha namtafutia milion moja nikamtupie jini tukose wote na msela anayemzingua
 
una haki ya kupigwa pini, mambo ya kufowadi msg ni utoto
 
[emoji16]
 
Embu utume na hapa huo ujumbe mkuu. Maana kuna viujumbe ukivisoma unaona kabisa umeandikiwa.😅😅
 
2021 bado mnaforwardiana messages??,,acha upori pori
 

Mzee mbona unafosi mtu kukupenda utakuja kujuta,utakuja kupewa pigo moja mpk uhisi maini yamekimbilia kweny ubongo acha hzo pigo kifup hicho kimanz hakikupend kwahy acha kushoboka tafuta manz ako nyingn tupia sound za maan tena usije kuthubutu kuforc mapenz utakuja kuteseka sana dogo
 
Achana nae
 
Ili ushauri uwe na manufaa Ingekuwa vizuri ungeweka umri wako wazi haijajulikana kama ww ni kijana mdogo au kijana wa makamo.
 
Okay hio story yako ni simple sana ,cjapata muda wa kupitiaa comments kama hichi ntacho kushauri ushashauriwa na watu wengine ...

Ila kama we ushaamua kumuacha kwann uanze kuwa bothered nayeye kukublock yani ni sawa na maharage yamechacha na umeyaweka njee lakini unaona tabu kuku wakiyadonoa donoa , we Kama ushaamua kuacha aende we muache acha habari za kulazimisha mambo mkuuu .

Mda mwingine tunajidharirisha wenyewe kutaka kuonekana na mapenzi ya kikoreaa
 
Pole sana
Ila pengine upunguze kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu.
Kama mtu haonyeshi interest na wewe hata usijisumbue utaumia bure tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…