Ameniblock na kuninunia

Achana nao hao, wanakuenjoy tu...

Mwanaume inabidi uwe na maamuzi magumu na sio kutia huruma..

Kukomaa na kuvumilia upuuzi mwisho wa siku atakutambulisha kwa mabahasha zake itakua fedhea kwako.

Hilo tukio fanya Kama fundisho maishani mwako, ukipata wengine inabidi utumie akili kuishi nao namaanisha kuwa RUDE BOY na sio GENTLEMAN, samaki wapo wengi baharini ya nn ung'ang'anie mmoja.
 
😂😂😂
 
yaani niendelee kumtafuta kwenye simu wakati ameniblock? si nitakuwa nalazimisha mapenzi mkuu.

nakubaliana na wewe. Thanks again Bugsy
 
Hivi mtu akikuacha si na wewe uendelee na maisha yako?
Ukitaka kujua sana itakusaidia nini wakati mshaachana?

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
kuachana ndio iwe uadui dada yangu Binti1 hadi kupelekea watu kununiana? mimi nimeshamuve-on, nilichojiuliza kwasababu gani sasa ninuniwe ingawa kununiwa hakuniumi!
 
Mzee hata usisumbuke kujua anamaanisha Nini . Utapoteza muda wako bure tu ... mwanamke akikupenda mpendee Hadi achanganyikiwe ...akileta usenge mfanyie usengeee wa kiwango Cha sgr usijari hivyo yani ....una mambo mengi ya kuumizia kichwa

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
 
Kama hupendwi hupendwi hupendwi tuu. Wewe umeona kabisa mtu hakutaki mpaka anafikia hatua ya kukublock ila bado unaendelea kumfata fata... Haupo serious mkuu. Kwenye ubongo wako kuna tatizo sio bure.
 
Kama hupendwi hupendwi hupendwi tuu. Wewe umeona kabisa mtu hakutaki mpaka anafikia hatua ya kukublock ila bado unaendelea kumfata fata... Haupo serious mkuu. Kwenye ubongo wako kuna tatizo sio bure.
Bado hujakua!
Punguzeni ukali wa maneno wakuuu, inawezekana bado kijana mdogo, ila hekima anayo ndio maana kaja kuomba ushauri kwa wakubwa na kashaurika ameshaelewa, imeisha hiyo, maneno makali haya mjengi kijana.
 

Watu wa hiv wanacomment utazan wenyew n wajanja kumbe washamba tu [emoji19]
 
Mbona kama vile unapata tabu? Move on broh, mambo ya kufanya yapo mengi sana.
 
Hamna kaka jamaa yuko sawa
Sisi wanaume ndo tunajitoaga fahamu kama vile hatuna ubongo

Unajua watu tumetofautiana swaga,sasa unavokua unamkandia mtu unakua hujamsaidia zaid ya kumfanya ajione yupo chin,inabid umwambie ukwel na umshauri ndo kitu muhimu.
 
Hamna kaka jamaa yuko sawa
Sisi wanaume ndo tunajitoaga fahamu kama vile hatuna ubongo
Haijalishi, binadamu sio mkamilifu, mbn hata baadhi ya wanawake pia ving'ang'anizi... Kikubwa ni kushauriana na kueleweshana tu
 

Ukweli unaouma...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…