Ameniblock na kuninunia

Mkuu

Haina haja ya kushikilia mkaa wa Moto mkononi wakati unaendelea kukuunguza, solution kuwacha udondoke usiendelee kukuunguza.

Women are hard to understand the more you are nice to them the more unattractive you appear to them, kubali kataa ndio ukweli nakupa mfano.

Kuna mdada mmoja alishawahi kuishi na jamaa mmoja kabla ya rafiki yangu, kua nae kimahusiano.

Mwanzoni na huyo mshikaji wake wa kwanza mahusiano yalikuwa Moto Moto, baadae huyo dada ghafla alichange, jamaa alikua anaumiza kichwa Sana na huyo demu, akipiga simu hapokei, jamaa akiomba unyumba ananyimwa.

Jamaa alikua ni nice guy, Kama tunavyo aminishwa na kupewa ushauri kutoka kwa masensitive guys na women ya kwamba ukiona mwanamke anabadili gia ya hisia zake juu yako inabidi uwe nice guy ili urudishe upendo.. Mara umnunulie maua, nguo nzuri, vizawadizawadi, umpikie, umfulie ili arudishe moyo wake kwako jamaa alitekeleza kumbe ndio kwanza yule dada aliendelea kumdharau, mwisho wa siku yule dada alimtema yule mshikaji.

Ikapita miaka kadhaa, akakutana na rafiki yangu, mwanzo mapenzi pia yalikua motomoto baadae yule demu akawa anataka kumletea rafiki yangu depo Kama alizomletea mshikaji wa Mara ya kwanza, rafiki yangu akiomba unyumba Mara anaambiwa sijiskii vizuri, ohh Mara hataki... Jamaa kamvumilia Kama wiki..

Sasa Kuna siku moja jamaa alikua nae kwao, usiku.. Jamaa anaomba unyumba demu still akamwambia sijiskii vzr, rafiki yangu alicheka Sana na kutabasamu akachukua simu yake karibu, akampigia mwanamke mmoja, kamwambia alikua anataka aonane nae usiku huo...Jamaa alitoka kitandani na kuvaa nguo zake, demu alishtuka kamuuliza unakwenda wapi, jamaa akamwambia haikuhusu, naenda kumaliza shida zangu, demu alikua confused

Ile jamaa anafika mlangoni tu yule demu alimrukia na kumtunuku jamaa pale pale mavitu, toka siku hiyo yule demu Ile tabia alijirekebisha, na mwisho wakaoana na kuzaa watoto watatu, mpaka Sasa yupo nae wanaishi wote.

Kwakifupi Kuna baadhi ya wanawake wanapenda kufanya mahusiano Kama silaha, ili mwanaume awe mnyonge na kuanza kubembeleza aka Nice guy.. Kumbe sivyo hivi viumbe vinapenda rude boys.
 
Hivi mtu akikuacha si na wewe uendelee na maisha yako?
Ukitaka kujua sana itakusaidia nini wakati mshaachana?
 
Mapenzi we acha tu😥😥😥😥😥sina hamu demu mpaka nimtumie text au nimpigie ntakufa single jamani we acha tu niwe bussy na kazi
Atakayenipenda one day atakuja kwangu ntazaa nae inshallah
 
Asante sana mkuu Bugsy huu ni ukweli mtupu hawa viumbe kuwaelewa vizuri ni vigumu!
 
Mapenzi we acha tu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]sina hamu demu mpaka nimtumie text au nimpigie ntakufa single jamani we acha tu niwe bussy na kazi
Atakayenipenda one day atakuja kwangu ntazaa nae inshallah
Mkuu

Ukisema uwasubirie hawawezi kuja wenyewe hivi hivi, inabidi uwafuate wanaume ss automatically ni mapredators, as long as uwe na confidence tu.
 
Mapenzi we acha tu😥😥😥😥😥sina hamu demu mpaka nimtumie text au nimpigie ntakufa single jamani we acha tu niwe bussy na kazi
Atakayenipenda one day atakuja kwangu ntazaa nae inshallah
sometime wana tabia za ajabu sana hawa viumbe.
 
Ukweli mchungu lakini utakaomsaidia mtoa uzi kama akiamua kuufuata.
 
Mkuu

Ukisema uwasubirie hawawezi kuja wenyewe hivi hivi, inabidi uwafuate wanaume ss automatically ni mapredators, as long as uwe na confidence tu.
Yes, sisi ndio wawindaji
 
Life is circle my men

Leo hakupendi kesho anakupenda
Mwaka huu anakupenda mwaka ujao hakupendi.

So kama unampenda msubirie Atarudi. Ila kama humpendi tafuta another.
 
nakushauri tu kwa sasa tia mkazo kwenye life yako na mikakati yako,aliyewako yupo tu huwezi jua ata umeepushwa na nini.Hivyo shukuru kwa kila jambo then move on
 
Life is circle my men

Leo hakupendi kesho anakupenda
Mwaka huu anakupenda mwaka ujao hakupendi.

So kama unampenda msubirie Atarudi. Ila kama humpendi tafuta another.

nakushauri tu kwa sasa tia mkazo kwenye life yako na mikakati yako,aliyewako yupo tu huwezi jua ata umeepushwa na nini.Hivyo shukuru kwa kila jambo then move on
Kweli kabisa
 
nakushauri tu kwa sasa tia mkazo kwenye life yako na mikakati yako,aliyewako yupo tu huwezi jua ata umeepushwa na nini.Hivyo shukuru kwa kila jambo then move onMungu anajua kesho zetu.
shukrani mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…