Ameniblock kila sehemu lakini akiweka picha kali ananifungulia

Wewe kweli Sela,
Dogo una shobo nyingi sana ndio maana demu kakuona boya. Mtu anakutakia usiku mwema tu tayar ushaona unapendwa na kutuma mameseji kibao I love u, miss u. Pumbavu!!! Tulia watakufuata, wewe alishakwambia hakutaki na Block alokupa ni ushahidi wa yeye kukwepa shobo zako.

Cha msingi fanya kazi upate pesa sio vijipesa, utaacha shobo na watakufuata wenyewe.
 
Mpaka nikipata pesa umri utakwa umeenda Sana. lkn hamna namna. UKWELI MCHUNGU ASEE KUTOKA KWAKO,,SHOBO NAACHA BR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sisi tutajuaje? Labda mshana
 
Kakukubali na amekolea, ila anapokuwa na bwana wake kausha kwanza kwenye kifungo cha block si unaona akimaliza kubebika anakucheki kwani tatizo liko wapi. U-spea tairi una changamoto zake, inabidi ukae na sisi maspea tairi waandamizi tukupe uzoefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata mtu akublock mm kuna mdada nmemfuata pm humu eti ananiuliza ww nani nikamwambia huoni jina hapo akasema hana contacts zangu nikajisemea JF ndio imekuwa kama whtsap siku hizi...bora angenikaishia tu kuliku kunifanyia hivi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…