Ameniacha baada ya kukuta kondom

Wee jamaa ni mzembe sana hata kusema kuna mwana aliazima Geto yeye ndo aliiachaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanaume mzima ukakiri kuwa ulichepuka daah... watu zinakutwa mpaka chupi mamaee na mtu anapigwa mistari mpaka anaelewaaa..
 
Mengine yooote, nayaona kawaida na siyajadili.

Ila kubwa kuliko yote ni hili la condom hili!

Mchafukoge kiasi gani wewe, kuruhusu kuweka kiporo cha used'ndom,
Haufagii, haudeki?

Wawezahisi kakuacha kwa ajili ya wivu wa mapenzi, kumbe kakuacha kwa sababu ya uchafu wako! Yaani wewe ni mchafu wa asili, ambaye hauwezi kujirekebisha, kakupima siku nyingi kakuchoka.

Kama condom imetumika na haionekani ni uchafu, basi kuna takataka nyingi sana hatarishi kwa afya zipo chumbani humo!

Waweza kukuta makohozi, mate, vipisi vya sigara, soxy chafu kunuka zimo humohumo!
Isee! Wacha akuache akapumzike, hata hivyo kama ndivyo, mtoto wa watu kakuvumilia sana.
 
Hii ilishawahi kunikuta niliisovu hadi leo ukiniambia nirudie uongo niliotumia siwezi kuukopi. Hadi demu alinipa pole yeye
 
Kwa namna ingine uko vizuri. Kikubwa usiuze mechi. Kwani Kuna wengine ambao wanauza mechi lakini hajajulikana home, so relax akielewa sawa na asipoelewa sawa pia. Maisha yanaendelea.
 
Nampongeza kwa kuondoka. Amekuwa mkweli kwa nafsi yake na kwako.
Nawapenda wanawake wenye misimamo
 
Umemsaliti vibaya sana
1. Chumba cha jirani.
Amefikiria heshima yake, ameona haipo. Huyo jiran angemletea dharau

2. Umetumia kitandan chenu.
Ni kukosa adabu kiwngo cha PhD.

Kifupi umemdharau sana, hana sababu ya kubaki.
 
Nothing hurt like betrayal aisee ulifeli kizembe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…