Ameniacha baada ya kukuta kondom

Aisee, hapa hotelini kuna mdada kaacha sidiria chumbani kwangu ngoja nikaitupe.
Kweli kwenye miti hakunaga wajenzi kabisa.
Hiyo kitu inakazi yake maalum chief, yaani nisawa na kula ugali na picha ya samaki...teh[emoji28]
 
Dah...usijichanganye...Kuna kutia ...na kutiwa....ni makosa tofauti [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe WANAUME bado tungalipo aisee nilidhani niko peke yangu...mana vichalii vya siku hizi comments zao tu huwa zinanipa mashaka

























Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Kama wako alikuvumilia haimaanishi kuwa kila mwanamke huvumilia furushi. Hivyo msimpotoshe mwenzenu.
 
ungemwambia hio condom ni zile second hand/za mtumba.
Au panya kaingia nayo.
 
Kama wako alikuvumilia haimaanishi kuwa kila mwanamke huvumilia furushi. Hivyo msimpotoshe mwenzenu.
Na pia uvumilivu wa kupita kiasi ni upumbavu, binafsi siwezi nikaishi na mwanamke mvumilivu zaidi, bali ninaamini katika upendo wa kweli.
Sijawahi kuvumiliwa asilani, naamini ninaishi kwenye upendo.
Na kama wewe unaona ninampotosha pia nisawa, lakini mtazamo wako hauwezi ukabadilisha kile nilicho kiandika ama kukiamini.
 
Ungejitetea kuwa mlimuazima mshkaji geto apigie demu wake sio aliyeiacha na unakomaa na msimamo wako then unamsuka msela kitaa unamuuzia msala
 
Hilo ni kosa kubwa sana kwanza uliwezaje kuingiza mwanamke mwengine kwenye nyumba unayoishi na Mke wako. Wewe unatudhalilisha sana wanamme hadi tunaonakana hatuna heshima katika ndoa zetu, kwa hivyo vitendo vyako vya Kijinga. Unazungumzia kutumia condom si ni kwa usalama wako binafsi. Wewe hata wanawake wanatakiwa kukuogipa kwa jinsi ulivyo unashindwa hata kujutia kosa kubwa kama hilo kweli unaona ni sawa tu.
 
Speaking of upendo, ungekuwa unampenda usingefanya hayo ulodai ulivumiliwa kwayo. Or ni one sided upendo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…