DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Dah ulimkosea sana demu wako, bora ungepiga kavu yote haya yasingetokeaUnataka kuhalalisha michepuko kwa sababu ya Condom!!
Hicho kitendo cha kijasiri ambacho unajisifia akikifanya mpenzi wako utakubaliana na matokeo?
Halafu siyo kila mwanaume lazima achepuke watu kama nyie mnatakiwa kuwa na mtu mmoja, kama unasahau hata kufuta ushahidi wa makosa yako unachepuka ili ugundue nini?
Aisee, hapa hotelini kuna mdada kaacha sidiria chumbani kwangu ngoja nikaitupe.Habari za kazi wakuu,
kwanza napenda kutoa uzi huu nikiwa na majonzi makubwa kweli, kwani mahusiano yangu yamevunjika kizembe sana japo kuna wakati najipa moyo kuwa ni ujasiri... Mpenzi wangu aliaamua kuondoka kwao baada ya kukuta Kondomu iliyotumika chumbani kwangu. Huwa anasafiri mara kwa mara ndipo nipo shetani aliponivuta mkono nikaomba game kwa dada mmoja ambaye ni mpangaji mwenzetu na hii ndio chanzo baada ya kuisahau kuitupa, Lakini bado najiuliza kwanini asingenisamehe na kunipongeza kwamba nimetumia kinga? itakuwaje akipata mchepukaji ambae hatumii kinga?
Wito wangu ni kwamba bado nampenda na ndio maana nilikumbuka kinga hivyo kama ananisikia arudi nyumbani nipo tayari kuhama ile nyumba.
Wewe ukimfumania au kukuta comdom used nyumbani kwa mpenzi wako utamsamehe?Mkuu, huyo mpenzi wako hakuwa na upendo kwako tena. Yaani namaanisha alikuwa hakupendi tena, na kwa maelezo yako nalazimika kuamininkwamba alikuwa anakusuribia apate tu sababu ili akuache.
Kwasasa haupaswi kujuta kabisa kwasababu hili kosa ni dogo sana nikilinganisha na makosa ambayo nimewahi kuyafanya mimi.
Ebu usijilaumu wala kujutia, amini kwamba muda wa yeye kukuacha ulikuwa umefika na wala usijaribu kujutia kwamba umeachika kizembe.
Kwa leo naomba niishie hapa
Nitakusamehe mpenzi, na hiyo itanifanya niamini kwamba unacheza salama na sote tupo salama. MwahhhWewe ukimfumania au kukuta comdom used nyumbani kwa mpenzi wako utamsamehe?
Huyu Ni konda wa mabasi ya mwendokasi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] alikua anakutaftia timing ili akuteme, uzembe uo alafu baharia unasahauje kutupa kondomu, au baharia wa mtumbwi