Amemnyang'anya kila kitu mwanamke wake na kumtimua

Duuh! Tabia mbaya kabisa hiyo ambayo baadhi ya Me wengi mnayo.

Yaani jamaa anasahau kabisa kuwa mbali na hilo baya moja yapo mazuri kibao ambayo huyo dada aliwahi mfanyia kabla.
 
Tatizo bidada hakua na cha kuoffer zaidi ya papuchi. Hata ushauri tu alishindwa, si ajabu hata huko ndani ni gogo, uchafu, chakula kibovu nk.

Maana mpaka unaachwa kwa style hiyo ni kua wewe hukua na umuhimu ila ulisaidiwa tu.
 
Back
Top Bottom