Amemfumania mchumba wake aki cheat, afanye nini?

Amemfumania mchumba wake aki cheat, afanye nini?

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Amekuwa na mahusiano na Boyfreind then Mchumba wake kwa miaka minne na nusu. Kwa mara ya kwanza amemkamata akicheat. Anasema boyfriend wake alikuwa amuelewielewi kwa siku mbili hivi, akaamua kufanya ambushi usiku wa saa tano kwa mchumba wake. Looh!! akamkamata mpenzi wake na msichana mwingine live bila chenga. Aligundua pia mchumba wake na huyu mfumaniwa walikutana wiki moja iliyopita. Mchumba wake alimwalika mfumaniwa waspend usiku huo. Kwa hasira mdada akavunja mahusiano na jamaa mda uleule kwa hasira na kusepa.

Sasa imepita wiki mbili, jamaa anaomba msamaha na kuomba msamaha kwa second chance. Kitu ambacho kinamuumiza sana ni kwamba msichana aliyemfumania yupo tofauti sana na yeye. Mfumaniwa kwa kweli kakamilika kila idara, namba nane Yeye wa kawaida sana.

Amesema Mchumba wake amemwambia kosa
hilo amefanya kwa mara ya kwanza, mdada amekubali kuwa ni kweli anaamini ni mara ya kwanza. Mchumba wake anataka waende mbele na plan yao ya kufunga ndoa.

Nimemuongelea hapa kwa wana MMU ili mimi niprint the best advice, japo mimi nami nimesha mpa ushauri wangu ila hapa MMU funga kazi.
Madada kama wewe umevaa viatu vyake utafanya nini? Utamsamehee a cheat?



 
Daaah sikushauri chochite ila nilishawahi cheki comedy flani hivi aisee..a real men does not go under but rather up..yani kama uko na manzi ukacheat inabidi ucheat na kifaa cha ukweli kumzidi manzi wako..mpaka kimoymoyo manzi wako anakiri daaah...huyu jamaa yangu yuko vizuri na obviously atakusamehe ukiomba msamaha ila ukicheat na wa below manzi ako hilo linakua swala jingine....kabisa..!!
 
huyo bhana ni yey kuamua amsamehe au lah!inategemea imani yake imebaki kiasi gani kwa huyoo mpenziwe msaliti,kwa mim ningeusikiliza moyo wangu na ningeamua jambo kwamba niendelee nae au nichape zangu lapa,ila ninamshauri amsamehe na afute hicho kidonda yaani asahau ila kuendelea ama kutoendelea ataamua yeye mwenyewe
 
Wajameni nauza viazi magimbi, nipo kilosa, maana msimu umekubali, alietayari aniPM!
 
Mwambie ni wanaume wachache sana awafanyi kitu alicho fanya mchumba wake. Wengi wetu tunafanya kwa usiri mkubwa sana kwa kuwaogopa wachumba zetu. Kitu cha muhimu je anaamini mchumba wake atabadilika siku za mbeleni amsamehe ila kama ataweza kuishi bila kusahau iko kidonda vyema aachane na jamaa.
 
Mwambie aachane nae huyo.
 
Huyo binti anatakiwa amuombe msamaha mchumba wake. Kwa nini amfanyie ambush saa tano usiku? Jemaa angekuwa na bastola ingekuwaje?
 
mpaka kimoymoyo manzi wako anakiri daaah...huyu jamaa yangu yuko vizuri na obviously atakusamehe ukiomba msamaha ila ukicheat na wa below manzi ako hilo linakua swala jingine....kabisa..!!

mkubwa kwenye mapenzi hakuna mzuri wala mbaya,mbaya kwangu mzuri kwako
huyo jamaa msamaha kwangu Big NO nampiga chini navuta aliyekuwa yuko kwenye list hahaaa lol
 

uchumba tu tayari kafumania
akioa akawa wa maisha itakuaje
mwambie atupe kurrrreeeeeee hafai huyo!!
 
....
Aaaaaa! Bei tusipatane hapa, awezaingia mama watoto akajua mpango mzima kuhusu magimbi yetu!!!!
We PM tu!

Tafadhali be smart usiharibu bandiko hili. Ujalazimishwa kufanya chochote. kama ujapendezwa nalo waache wana MMU wengine walete ushauri wao. sawa ndugu
 
Tafadhali be smart usiharibu bandiko hili. Ujalazimishwa kufanya chochote. kama ujapendezwa nalo waache wana MMU wengine walete ushauri wao. sawa ndugu

Mkuu wataka magimbi weye?
Afu ili ni jukwaa la MMU! So nawambia frnd zangu!!!
Kwani mteja weye tu?
 
mkubwa kwenye mapenzi hakuna mzuri wala mbaya,mbaya kwangu mzuri kwako
huyo jamaa msamaha kwangu Big NO nampiga chini navuta aliyekuwa yuko kwenye list hahaaa lol
Wazuri wapo tu wengi wala hilo halina ubishi mimi na uhakika ukimuona jamaa ako kacheat na kifaa cha ukweli kama Amber Rose au Kim Kardashian na halafu ukijicheki ni design za mwajuma ndalandefu..utakaaa tu..mmhhh haya baby nimekusamehe...!!!
 
msamehe tu hyo cheat boy atakuwa alivutiwa king*no zaid na hyo geli. Namaanisha hana mipango naye kama aliyoweka kwako.
 
Naamini amna strong relationship pasipo kusamehe. Katika wakati tunao samehe ndio tuna establish ourselve stronger.

kwa sisi binadamu labda tuoe malaika au wadada waolewe na malaika ambao ndio wamekamika. Kwa sisi binadamu makosa ni sehemu ya maisha yetu.

Wachungaji wenyewe mda mwingine wanakamatwa wakiwa wamelala na waumini wao. Marais na mapadri mda mwingine wanakamatwa wakiwa wananusa bikini za wadada.

Ni vibaya kufumaniwa lakini siyo criminal, kweli atamuacha mchumba wake kisa amelala na mwanamke. Waongee wafikie muhafaka, naamini kama mdada atakuwa muelewa yataisha.
 
Kwan uyo jamaa ana lipi jipya sana mpaka asehewe...mwambie uyo dada apige chini ako kajamaa then ani-PM tufanye vtu vkubwa
 
Back
Top Bottom