Kuoa kwa sasa nako ni ujasiriamaliNiko maeneo @ kumpa kampani rafiki wa karibu Eric anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni,,,,sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa mil4 cash katika5mil.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza ....jamani Mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70000 tu .
NB:wajomba muwe na huruma....maisha magumu sana..
Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.
unaishi kwa kukariri.si kila ndoa zinavunjika.Baada ya miezi wanaachana, bora anunue kiwanja anauziwa mke bei ghal sana
Umeshapta ule mkopo ulikuwa unataka wa tsh 100000Tunaomba picha ya huy mlipiwa mahar mkuu
Ngoja aoe, ndugu kila siku watamlilia shida kwa kua wanajua anazoJamaa katoka nje analalamika
sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa mil4 cash katika5mil.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza
Unalipia "mahali" yote hiyo halafu machine yenyewe labda ni "USED".Niko maeneo @ kumpa kampani rafiki wa karibu Eric anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni,,,,sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa mil4 cash katika5mil.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza ....jamani Mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70000 tu .
NB:wajomba muwe na huruma....maisha magumu sana..
Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.