Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,688
- 3,143
Yaani huyu mwanamke sijui anataka nini kwangu. Tumeachana ila kaona haitoshi kamua kuniunganisha na watoa mikopo mtandaoni.
Sizijui hizi kampuni za mikopo mtandaoni jinsi zinavyofanya kazi zao. Ila toka wiki iliyopita nimekuwa nikisumbulia sana na simu za vitisho kutoka kwa watu wamikopo wakitaka nimkumbushe huyu mpenzi wa zamani tuliyeachana naye alipe mikopo watu au nilipe mimi.
Mimi nikawa siwaelewi naona wanazindi kunisumbua na sms kibao naombeni ushauri juu ya hili wakuu
Natanguliza shukurani wakuu