tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,327
Hukuona wale vijana wa somalia walibaka mtoto wakamuua,mbele ya jaji walikatwa uume wao wote watatuYani pamoja na kumkata,bado hakuridhika akataka amlishe kabisa!!! Au alihisi ataikota ili akaiunganishe hospitali? Hii adhabu ingekua nzuri zaidi kama mbakaji asingekufa, yani aishi bila hicho kiungo ktk maisha yake yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukuona wale vijana wa somalia walibaka mtoto wakamuua,mbele ya jaji walikatwa uume wao wote watatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa. Jitu litabakaje mtoto mdogo hivyo.
Akaliwe na udongo na jamaa akale ugali jela.
Cc 100 Likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukilibaka lishankupe linalojiachia matako nje lenye miaka 30 utalinganisha na malaika wa miaka mitatu ambaye baba/ mama yake wapo nae benet wakimlea mwana wao kwa uoendo wa hali ya juu, hivi unaona hivyo vitendo vina uzito sawa?Naona mnasikitika mtoto wa miaka mi3 kubakwa, inaonesha kubaka si kosa kutegemea na umri wa anayebakwa au? Tukemee vitendo vya ubakaji bila kujali umri wa anayebakwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ulinganishe kubakwa kwa ' Umber Ruty' au wale 'wasagaji wawili' wanaitakiwa kuwa unfollowed na haka katoto?Naona mnasikitika mtoto wa miaka mi3 kubakwa, inaonesha kubaka si kosa kutegemea na umri wa anayebakwa au? Tukemee vitendo vya ubakaji bila kujali umri wa anayebakwa.
Sent using Jamii Forums mobile app