alipangiwa mwaka huu ila wanamwambia hawajampata mbadala.
habari wana jamii naomba ushauri yumsaidie vipi huyu Mwl Wa kike .ameajiriwa tangu mwaka 2011 sekondari ni mwalimu Wa maths na physics aliomba nafasi ya kwenda kusoma akachaguliwa kujiunga na chuo st john sasa amefuatilia ruhusa Mkuu wake kakoment asiruhusiwe maana shule haina Mwl Wa physics , kaenda kwa afisa elimu nako kanyimwa eti akitaka aache Kazi , sasa ushauri afanyaje aweze kusaidiwa au kuna sheria zipi zinaweza kumfanya awashitaki hawa wakuu wake.
bumija hiyo sio kauli ya kistaarabu kwani waliosoma wrote no marais ...kila MTU anapenda kufikia lengo alilojiwekea akiwa mdogo..