Ina maana siku hizi mtu demu wake kumegwa ni kawaida? Halafu inakuwaje demu msomi darasani alikuwa mkali wa kiukweli anashindwa kusimamia alichokubaliana na mwenzie?
Biological clock.....sio tamaa za kifedha peke yake zinazofanya mabinti kukimbilia kuolewa....
Aliona nafasi ya kuolewa (tena na mkwanja juu), ilhali jamaa hajajipanga kuoa bado.....akawahi!
Wanawake wanaweza kuvumilia ukosefu wa kipato kuliko wanavyoweza kusubiri.
Tamaa na desparation sio combination nzuri linapokuja swala la kuingia kwenye ndoa. Ndio maana malalamiko siku hizi yamezidi na utulivu umepungua.
ndiyo kundi gani hilo ndugu yangu, ni kundi kubwa au dogo kwenye tasisi hii ya ndoa?ndo unajikuta umeolewa na mtu ambaye wala huwezi share nae some of your burden.
Unatamani kumwambia lakini unashindwa.
Tayari, unaingia kwenye kundi la siri kati ya wanandoa.
Hapo sasa.ndo unajikuta umeolewa na mtu ambaye wala huwezi share nae some of your burden.
Unatamani kumwambia lakini unashindwa.
Tayari, unaingia kwenye kundi la siri kati ya wanandoa.
Tufanyeje sasa, maana UKWELI wa mambo ni kwamba hela siku hizi ndiyo kila kitu. wewe unajua siku hizi mahusiano yamejaa uigizaji wa uzungu. Mara Mlimani City mkitoka hapo mnamalizikia Bills au Maisha Club. Na ni kweli wanawake siku hizi wanachotaka uwe nacho umepataje haiwahusu!!Hapo sasa.
Wengine hata wakiwa wanahalalisha uanandoa wao usiku mmoja anafunga macho na kuomba huyo mwenzi amalize maana anahisi kama anamghasi tu. Watu wanaingia kwenye ndoa alafu wanaishia kuwa na mawazo zaidi ya kabla, japo waliamini ndoa ndio itakayomwondolea mawazo na wasiwasi wa maisha.
Tufanyeje sasa, maana UKWELI wa mambo ni kwamba hela siku hizi ndiyo kila kitu. wewe unajua siku hizi mahusiano yamejaa uigizaji wa uzungu. Mara Mlimani City mkitoka hapo mnamalizikia Bills au Maisha Club. Na ni kweli wanawake siku hizi wanachotaka uwe nacho umepataje haiwahusu!!
ndiyo kundi gani hilo ndugu yangu, ni kundi kubwa au dogo kwenye tasisi hii ya ndoa?
Ina maana siku hizi mtu demu wake kumegwa ni kawaida? Halafu inakuwaje demu msomi darasani alikuwa mkali wa kiukweli anashindwa kusimamia alichokubaliana na mwenzie?
No money no honey. Nalog offMambo ya no romance without finance hehehe