shule za serikali utaratibu huwa ni siku 90 ndiyo unajifukuza mwenyewe,Wadau kuna dogo form 6 kafukuzwa shule kisa kaextend likizo kwa 1 month. Kama kuna mtu anaweza kujua procedure za kufuata ili dogo arudi shule hata private kwa sababu pale wamegoma kumrudisha.
Its government school ambayo kawa expelled
Kwel hilo n jambo zur, atoke mkubwa mmoja aambatane na dogo.Ni fairness tu. Kama unajamaa mkuu wa shule au mwalimu wa nidhamu uliza.
Kuna shule zingine wanafunzi wanatumia simu free..kama niliyosoma mimi ila sheria ni ukikamatwa unafukuzwa..
Huyo dogo aambatane na mzazi akaombe msamaha yakishindikana maana kuna walimu wanaaa aombe barua ya uhamisho kuna shule nyingi atapokelewa
Sio umuulize nenda shulen kaongee na walimu wakeNgoja nimuulize vizur manake hawa madogo hawaelewek
Poa poa kila la heri!!That u said is in motion right now.
Wadau kuna dogo form 6 kafukuzwa shule kisa kaextend likizo kwa 1 month. Kama kuna mtu anaweza kujua procedure za kufuata ili dogo arudi shule hata private kwa sababu pale wamegoma kumrudisha.
Its government school ambayo kawa expelled