TechWarlock
Member
- Sep 9, 2014
- 37
- 11
Hamna kitu kama icho ww.Wadau kuna dogo form 6 kafukuzwa shule kisa kaextend likizo kwa 1 month. Kama kuna m2 anaweza kujua procedure za kufuata il dogo arud skul hata private coz pale wamegoma kumrudisha.
Its government skul ambayo kawaexpelled
basi muulize anataka shule aua anataka simu?Nimembana aniambie ukwel, inaonekana dogo alikuwa na suspension kama 2 iv za kuwa na cm na kutoka nje ya shule ck ambazo co za kutoka.
Anataka shule. So ngoja tuone tunafanya nin but he really fucked up.basi muulize anataka shule aua anataka simu?
Alikuwa anakudanganya kusema kuwa kafukuzwa kwa sababu ya kuzidisha likizo........nenda we mwenyewe pamoja na dogo ukaongee na uongozi wa shule uwaombe wakusaidie dogo arudi shuleNimembana aniambie ukwel, inaonekana dogo alikuwa na suspension kama 2 iv za kuwa na cm na kutoka nje ya shule ck ambazo co za kutoka.
That u said is in motion right now.Alikuwa anakudanganya kusema kuwa kafukuzwa kwa sababu ya kuzidisha likizo........nenda we mwenyewe pamoja na dogo ukaongee na uongozi wa shule uwaombe wakusaidie dogo arudi shule
mwambie aache ujinga asome pesa inatafutwa .. kama hataki shule apewe mtaji ili atumie simu vizuri kutafuta watejaAnataka shule. So ngoja tuone tunafanya nin but he really fucked up.
Not 90 mkuu ni wiki 2 tu bila taarifa huna shule...vipindi 60 coz shule nyingi zina vipindi 30 per week so ukizidisha kwa wiki mbili ni 60.Hamna kitu kama icho ww.
Kairipotishe hiyo shule kwa viongoz husika wa hilo eneo iliyopo shule.
Mtu atafukuzwa shule kama atakua mtoro kwa siku 90 , kama hakutoa sabab ya kutokuepo skul
Mbona mm nakumbuka advance nildoj miez miwil lakn ckufukuzwa bal nilpewa adhabu ya kukata na shokaNot 90 mkuu ni wiki 2 tu bila taarifa huna shule...vipindi 60 coz shule nyingi zina vipindi 30 per week so ukizidisha kwa wiki mbili ni 60.
Ila kama huyo dogo kafukuzwa kwa kuvuta tu hao walimu wana roho ngumu aseeh...
Ushauri: kama wamegoma kumrudisha kaombeni barua ya uhamisho hata serikalini shule ni nyingi mtapata.
Ni fairness tu. Kama unajamaa mkuu wa shule au mwalimu wa nidhamu uliza.Mbona mm nakumbuka advance nildoj miez miwil lakn ckufukuzwa bal nilpewa adhabu ya kukata na shoka