Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja mkoani nikaamua kutoka nipate breakfast restaurant. Kwa bahati nzuri wageni tuliolala kwenye lodge hiyo tulikuwa wachache, hivyo nilijikuta mwenyewe restaurant. Ghafla iliingia tax ambayo vioo vyake vya nyuma ni tinted. Mara kashuka bint m1 akiwa na uniform za chuo cha ualim na kupewa rum. Nilimsalimia akaitikia na akamwambia muhudum kuwa mwenzake atakuja kulipia. My God baada ya muda katokea mzee Kama wa miaka 68 kumbe ndo muhusika.
Nimeamin ng`ombe hazeeki......

Njaa kwa mwalimu kawaida
Ndio babu yake huyo?
ile dini ya muhamadi si inaruhusu hata binti wa miaka saba kuolewa na jibabu la miaka sabini?
ficha upumbavu wako usifiche hekima zako.
Wewe umejuaje kuwa miaka yake 68 huo ndiyo umbea tunaita.
Huyo Babu sio huyu tunaeangaika naye KAPUU YA?