ameanza masters class....uchumba kushney | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ameanza masters class....uchumba kushney

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Dec 6, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  juzi kati nikakutana na rafiki yangu wa chuo kimoja hivi..jamaa ni graduate kwa sasa na bahati nzuri ameshapata kibarua hapo dsm

  alikua ni kijana mwenye couple nzuri sana wakati yupo chuoni...couple ya mfano wa kuigwa!

  on the way nikamuuliza shemeji anaendeleaje na mipango yenu vipi maana mwaka ndo unaisha na hatuskii chochote....

  jamaa hakunijibu vizuri nikashawishika kumdadisi zaidi kujua nini kinachoendelea...........

  binti kaanza masters class evening program hapo dsm....tangu mwezi August/sept...binti amechukua ile ya juma3 hadi ijumaa kbs...

  haonekani isitoshe jumamos anadai yupo discusion,mara shoping ilimradi jamaa anakwepwa...anadai akijaribu kumuliza kinachoendelea binti anadai yupo buzy na kama haezi kumvumilia atafute mtu mwingine..lol

  haikuishia apo..binti ikitokea wameonana na jamaa;atampiga 'mizinga' ya kila aina ili mradi tuu amalize hela y amshikaji kitu ambacho hakikua that much!!............na naniliu hajapewa since march eti!!kha


  jamaa amestack...maana alishamtamblisha eveyrwhere na alijipanga kumuoa..ila binti ndio hataki kbs kueleweka ingawa hajamtamkia kumuacha....................najiuliza ni masters tuu au kuna mengineyo apa!..mi nimemshauri asali sana Mungu amuonyeshe aliye mchumba wake!!basi
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  shoka halina masters.....
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hayo aliyokueleza wewe alikaa na mpenzi wake na kumueleza?
   
 4. K

  Klily Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakae wayamalize sio kujump mara moja kwenye conclusion
   
 5. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mwambie jamaa yako,Amulike mwizi!!!!
   
 6. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  soma vizuri........ieleweke kwamba binti anamkwepa mshkaji........hataki kukaa nae na kuuzungumzia uhusiano wao!!anadai yupo busy na kama hawezi kumsubiri atafute mwingine.........hapa ndo alipo nimaliza
   
 7. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  shoka lina digirii moja.........
   
 8. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  uchumba hapo bado upo ila ni kwa nguvu za mola!!jamaa apambane kidudu mtu kimeshaingia anashindwa kumueleza tu!!ila kwa mbali after fights kama bado anampenda atamrudisha kwenye himaya!!maana hapo kuna lifataki linazuga naye kachanganyikia hajui yupi ndio yupi?ndo maana anashindwa toa maamuz!!!!
   
 9. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kwisha kazi!!!!! Wanawake bana watu wa ajabu sana ndio mana mi sipendi nawagonga tu nawala tigo tukionana tuheshimiane no love in africa cause njaa kali.
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwishney....
   
 11. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hahaaa sio wote bhana!
   
 12. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajiulizi ni nini kina mkeep busy,jibu analo..jamaa mpya kasha mkamata mtoto huyo,na hivi ana masters,haachiwi huyo,mama mzuri wa kushare maisha..pole kwa jamaa
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Watu wameshaanua matanga....
   
 14. serio

  serio JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  hahahaaaa, tanesco imekaba kote kote...!!!
   
 15. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tembo card master card ipo kazini!
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwamana hiyo huyo jamaa yako anaonaje? kua anaibiwa au kazidiwa ma zero kwenye ATM ya mwenzie..
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Habari ndio hiyo,
  Akija kustuka kaachwa feri siku mingi!!!
   
 18. Utamu Extra

  Utamu Extra Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambie jamaa yako kwisha habari yake,km alikuwa anaremba remba bibie keshapata mtu wa kazi huko chuo,kakijana kabichi kenye ukwasi kinoma na kanatoa dozi ya kueleweka.
   
 19. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  The way the cookie crumbles......
   
 20. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  From a lady.. this is a compliment...
   
Loading...