Hawakubali hiloMbona kocha alishasema tunajenga timu, wewe unamsikia nani?
Hawakubali hiloMbona kocha alishasema tunajenga timu, wewe unamsikia nani?
Wana shida sana wale watu, ukiwaambia madhaifu yao yaliyo wazi kabisa wanaishia kukupopoa.Simba ni timu mbovu sana. Wao walihitaji ushindi ila hadi mapumziko hawajapiga hata shuti wao wanashambuliwa tu. Mimi niliishasema wasipokubali hawana timu watapata tabu mnoo. Yanga wakati wako hovyo walikuwa wanakubali kabisa Simba ni imara na iliwasaidia sana. Leo Simba na Ahmed Ali ni kudanganywa tu kila uchao na kusifia timu.
Kichaka chetu cha kuficha udhaifu wa timu, tumeanza kujenga, au bado tunachimba msingi tu?Wenyewe Simba wanasema bado wanajenga timu...
Ajabu ni kwammba dirisha la usajili likifunguliwa utaona wanatoa "thank you" kwa wachezaji wengi tu
Hahahahaha,na uhakika simba ingeshinda sentensi isingekua hiiHuu ni ukweli mchungu ambao mashabiki wa simba inabidi tuupokee, simba hatuna kikosi cha kuifunga yanga, tunafungwa magoli rahisi mno, tuna average players wengi sana.
Simba timu yaxwaastaafu /matapeli akina Magori,Mulamu ,Try againWenyewe Simba wanasema bado wanajenga timu...
Ajabu ni kwammba dirisha la usajili likifunguliwa utaona wanatoa "thank you" kwa wachezaji wengi tu
Wajirekebishe wanahongeka kirahisi wanaendekeza njaaMoja ya kosa kubwa la TFF ni kuleta refa wa kigeni kwenye mechi kubwa kama hii, marefa wetu hawataaminika kuchezesha mechi za kimataifa pamoja na kuwa na beji za FIfa. Mbeleni timu za ligi zikiwagomea marefa wa ndani TFF watasimama wapi?
Hamna Chifu, ulimwengu wa soka unafahamu tatizo la marefu wengi linapokuja suala la derby, au baadhi ya mechi sio kutokuwa na uwezo wa kufuata sheria 17 bali mahaba! Kwahiyo ondoa hofu, wale wenye uwezo wataendelea kuaminika kama kawaida pamoja na TFF kuleta foreign referees.Moja ya kosa kubwa la TFF ni kuleta refa wa kigeni kwenye mechi kubwa kama hii, marefa wetu hawataaminika kuchezesha mechi za kimataifa pamoja na kuwa na beji za FIfa. Mbeleni timu za ligi zikiwagomea marefa wa ndani TFF watasimama wapi?