BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
E bwana lakidube marhabaaaShikamo joseverest
Asante mkuuJaribu kuongea nae na umshauri asikilize ushauri wa wataalam na sio maneno ya nje..
Hawezi kujua hizo dawa zitamsaidia vipi yeye na hicho kiumbe kilichopo tumboni mwake.. Hivyo vyakula alivyoshauriwa kula sio vibaya ndio ila Na hizo dawa pia azitumie...labda tu kama zinamletea maudhi ya pembeni (side effects)
Mtoto alipozaliwa hakuwa na tatizo lolote linahusiana na kutokutumia hizo dawa? uliacha baada ya kutumia kwa mda gani?Nilikuwa sivimezi sababu ya harufu yake mbaya ilinipelekea kuzidi kutapika, lkn mbadala wake ni ivyo vyakula rafiki alivyomwambia
Nina watoto watatu na nilikuwaga nameza km siku tatu tu naacha nilijitahidi kula mboga za majani samaki dagaa na kubywa maji kwa wingi, bila kusahau juice ya matunda yan natural sio ya kwenye makopo, na watoto niliwazaa fureshi kabisaMtoto alipozaliwa hakuwa na tatizo lolote linahusiana na kutokutumia hizo dawa? uliacha baada ya kutumia kwa mda gani?
poa poaA
Asante mkuu
Mm binafsi sikuwahi kutumia dawa yoyote zaidi ya SP ambazo unapewa na unatakiwa uzimeze papo kwa papo kama huna maji utaambiwa ukanunue ila kuna rafiki yangu alikuwa mjamzito akanambia kapewa hizo dawa nikamuuliza za nn? Akasema kama ww ulivyosema nikamshangaa coz mm binafsi sijawahi tumia dawa hizo na nilijifungua salama na mtoto yuko salama tu ila baadae ya kufuatilia nikagundua mama mjamzito anayehudhuria clinic private hospital ndio huwa wanapewa dawa hizo sasa cjui huwa zinasaidia nnWakuu,
Mchumba wangu ni mjamzito, ujauzito wake wa una umri wa miezi minne. Yeye yupo Mwanza, mimi nipo Arusha.
Alipoanza kwenda clinic alipewa dawa za kuanza kutumia kwaajili ya madini na madini, ambazo zinakuwa 30 (ambao wameshakuwa wajawazito nadhani wanazifahamu) jina lake limenitoka kidogo.
Sasa leo nimemuuliza hivi zile dawa ulizimaliza? akanijibu kuwa kuna mwenzake wa ofisini alimshauri aache kutumia dawa maana dawa si nzuri, kwahyo alikuwa nusu na nusu aliacha. Niliumia sana kitendo cha yeye kufanya maamuzi yanayohusu mtoto wetu peke yake bila kunishirikisha.
Huyo mwenzake amemshauri kuwa aache dawa na awe anakula samaki au dagaa na mchicha au matembele. Naombeni mnisaidie mambo yafuatayo:
1. Kuna athari zipi mama au mtoto anaweza kuzipata endapo hizo dawa hazitanywewa au kumaliziwa dozi?
2. Kwa amekatisha hiyo dozi karibia mwezi mmoja uliopita, je anaweza kumalizia zile dawa zilizobaki kwasasahivi au kwakuwa alishakatisha dozi inatakiwa aanze upya?
3. Mna lipi na kulishauri zaidi kuhusiana na swala hili?
MWISHO, kina mama msifanye maamuzi yoyote yale kuhusu ujauzito au mtoto peke yako, fanya na mwenzio, msipende sana kusikiliza tu maneno ya saloon na maofisini bila ushauri. Mtoto ni wenu wote, likitokea tatizo lolote wote mnawajibika. Inauma sana, namuonea huruma sana mwanangu na yeye pia mchumba wangu kama kuna athari zozote wanaweza pata
Naombeni sana mnishauri wakuu
nawasikitikia watu kama wewe, ndio huwa mnawashauri wenzenu vibaya.Dawa dawa dawa...ale vzr na mtoto atatoka vizuri...nani kakwambia dawa zinasaidia zaidi ya kuongeza matatizo tu