MUTAKANGWA
Member
- Oct 28, 2013
- 37
- 2
Habari za leo wanajamvi. Ninaomba mnijulishe kuhusu tofauti kati ya aina hizi. Which performs better than the other.
Habari za leo wanajamvi. Ninaomba mnijulishe kuhusu tofauti kati ya aina hizi. Which performs better than the other.
Bro hizi processor zote ni shitty, that's all. Sijui much about the architecture of the two but with personal experience nimeona AMD zina run much slower than the latter. Ila it doesn't take away the fact that they are all crappy processors, kama unataka kununua mashine yenye any of these 2 nakushauli itunze tu hiyo hela