Heshima kwenu wakuu
Nabarikiwa sana na huyu mtumishi wa Mungu, nyimbo zake zimebeba ujumbe murua. Mwenye kujua historia yake japo kwa ufupi anaweza kunisaidia pengine maisha yake yanaweza kuwa ya ushuhuda kwangu.
Natanguliza shukrani
Kwa jinsi anavyonibariki hadi ring tone ya cm zangu nmeweka nyimbo zake kutoka kwenye album ya "misuli ya imani"...historia yake cifahamu ila kwa kabila ni mnyakyusa..Mungu atubariki kwa nyimbo zake!!!!
mnyakyusa,he's 30 now nafikiri,mwanafunzi wa uhasibu T.I.A Mbeya Campus,Diploma.maskani kwa sasa Mbeya na Dar.hajaoa,pia ni mfanyabiashara wa samani.
kwa kifupi ni hayo tu
mnyakyusa,he's 30 now nafikiri,mwanafunzi wa uhasibu T.I.A Mbeya Campus,Diploma.maskani kwa sasa Mbeya na Dar.hajaoa,pia ni mfanyabiashara wa samani.
kwa kifupi ni hayo tu
Heshima kwenu wakuu
Nabarikiwa sana na huyu mtumishi wa Mungu, nyimbo zake zimebeba ujumbe murua. Mwenye kujua historia yake japo kwa ufupi anaweza kunisaidia pengine maisha yake yanaweza kuwa ya ushuhuda kwangu.
Natanguliza shukrani
Mimi ananibariki sana huyu jamaa , na maumbea yangu yote ila nikisikiliza nyimbo zake uwa nafyata , kuna watu wamebarikiwa sana na mungu kwa kweli, anasisimua sana jamaa na uimbaji wake
Jamaa alikuwa jirani yangu pale airpot-mby wakati akiwa ktk hali ngumu sn.Nilihama nikamwacha,ila kapitia magumu sana.Labda Salama au Sauda wamwite tumsikie yy mwenyewe.
Wimbo wake wa Tulikotoka ndo huwa unaniliza mie.