Ambikilaria, Dawa mpya ya kutibu magonjwa sugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ambikilaria, Dawa mpya ya kutibu magonjwa sugu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sigma, Mar 28, 2011.

 1. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa wa wizara safi sana, nimependa wanavyo 'handle' utafiti juu ya dawa ya babu Mch. Ambikile. waendelee kutotoa kila kitu hazarani ili jamaa wa majuu wasije claim wamegundua wao. identity ya mti ibaki kuwa anonymous (no botanical name wala jina la uji) huu mti ubaki kuwa uliogunduliwa Tz ! Waendelee hivyohivyo mpaka watakapokuwa wamepata uhakika kabisa kuwa unapoteza mpaka virus ndipo waanze tengeneza vidonge na dawa itaitwa Ambikilaria.
  dozi yake itakuwa 1 x 1.
  property right itabaki TZ kama kampuni litataka ku'duplicate itabidi limlipe Mch. Ambikile na Tz kwa ujumla limlipe Mch. Ambikile na Tz kwa ujumla labda hii itatutoa maana madini yameshindwa!
   
 2. Mental Retard

  Mental Retard Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 33
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Tatizo ni kwamba hii dawa lazima ipitie katika kikombe rasmi cha babu... chenye rehema na upako wa ajabu, tena maalum - vinginevyo hakuna kitu. Usifikiri wadau maslahi hapa nchini hatujaona potential ya kamfereji ka neema hapo, shida ipo katika namna ya ku-activate hako ka kemikali mmea ili kafanye kazi :focus:
   
Loading...