Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,469 Reaction score 17,975 Apr 30, 2018 #1 UK home Secretary Amber Rudd katangaza kuachia ngazi baada ya kushinikizwa kujiuzulu kufuatia sakata la wahamiaji.
UK home Secretary Amber Rudd katangaza kuachia ngazi baada ya kushinikizwa kujiuzulu kufuatia sakata la wahamiaji.
STRAGGLE MAN JF-Expert Member Joined Jan 10, 2018 Posts 698 Reaction score 614 Apr 30, 2018 #2 Shujaa,
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,311 Reaction score 12,202 Apr 30, 2018 #3 Tofauti ya mawaziri wa nje na wetu. Wa nje hata akisingiziwa ana mchepuko yupo tayari kujiuzulu achunguzwe lakini hawa wetu ndio kwanza mtu anatekwa, waziri ndio kwanza anafunga side mirrors!..
Tofauti ya mawaziri wa nje na wetu. Wa nje hata akisingiziwa ana mchepuko yupo tayari kujiuzulu achunguzwe lakini hawa wetu ndio kwanza mtu anatekwa, waziri ndio kwanza anafunga side mirrors!..
livafan JF-Expert Member Joined Oct 20, 2016 Posts 2,995 Reaction score 5,671 Apr 30, 2018 #4 Ndo yupi huyo?