Amber Rose

Tunaomba waziri Chonza,achukue hatua kali sana kwa huyu mdada,huku ni kukiuka maadili kwa kiwango cha hatari sana.

By the way,tatoo za huyu binti zinavutia sana,na pause lake pia sio baya saaanaaa
 
Tunaomba waziri Chonza,achukue hatua kali sana kwa huyu mdada,huku ni kukiuka maadili kwa kiwango cha hatari sana.

By the way,tatoo za huyu binti zinavutia sana,na pause lake pia sio baya saaanaaa
Ahahhahaah
 
Inawezekana kakish8ka kiantenna[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Aisee!!, nipo nje ya mji kwenye msiba wa our fellow colleague.
Pole sana sugar kwa kuumwa.
Asante,,poleni kwa kufiwa,hata kuniaga jamani ,,naogopa kwenda peke yangu kwa daktari sijui nikusubiri na kesho utakuwa busy najua
 
Asante,,poleni kwa kufiwa,hata kuniaga jamani ,,naogopa kwenda peke yangu kwa daktari sijui nikusubiri na kesho utakuwa busy najua
Ubize ulikuwa mwingi nikasahau sugar. Ebu Njoo inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…