Difo
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 113
- 185
Heshima kwenu wana jukwaa
Hapa ndo mahali pekee tunakutana na watu wa kila namna.na ngazi zote za elimu kwa nchi yetu, nisiwachoshe niende kwenye mada.
Natambua kuna sababu mbali mbali hufanya mtu asifike malengo/matokeo mazuri kwenye final exams.
Mfano Csee/Acsee and the like na option huwa ku-reseat mtihani au kujiendeleza na elimu ya vyuo either ufundi au chochote
Re Seaters ntawapa njia moja nzuri sana na rahisi ambayo binafsi ilinifanya nikapata alama za B B C C C, Credits 5 kwenye mtihani wa form 4 kwa ku-reseat
NOTE
Always reseates wakianza kusoma au kujisomea huona zile notes/materials ni kama wanazijua tayar na katika point hiyo hupunguza nguvu ya kusoma kwa kujipa moyo kila kitu anajua au alishasoma befoee
MASTER PLAN
.Tafuta past papers za kuanzia mwaka wako kurudi nyuma angalau miaka 10 adi 15
Mfano somo ni geography uwe na papers zake kuanzia mwaka 2017 to 2002
Kwa kila somo utakalofanya
.kuwa na saa ya mkononi/ukutani achana na ya kwenye sim
.weka ratiba kila siku/i mean every day monday to sunday lazima ufanye nusu ya mtihani 1.
Kama paper ina section A na B
Fanye either section kwa nidhamu
Na kwa kuda kama upo exams room
Na ukomaliza
Tafuta materials yenye majibu
Sahihisha pepa/au mpe rafiki/class mate asahihishe paper yako
.Fanya correction na kusoma eneo umekosa na kuona kuna weakness either of topics za somo husika
.fanya mtihani kila siku narudia kila siku
Na itakupa pictire ya wapi unahitaji kujirekebisha
.Group discusion ni mihim kukiko hata mwalimu kukupa notice tena
Kama ni shule muombe mwalimu aruhusu zaidi group discusion
Nimetumia njia hii na ilinipa matunda nikapata nafasi yankuendelea A level adi chuo kikuu
Nimetamani sana leo kuongea na wadogo zangu
Hasa wa kidato cha nne ambao hawajafanya vizuri mitihani yao na wanajiandaa na ku reseat
All the best