Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,073
- 12,967
Huwa mnakula nini hapo kwako?Chipsi ni chakula kisichokuwa na faida yeyote mwilini mwa mwanadamu, hakiongezi chochote zaidi ya kuusababishia mwili maradhi yasiyo na maana.
Pale nyumbani kwangu wanakula japo siyo mara kwa mara inaweza kupita zaidi ya miezi mitano ndiyo wanakula, wanajua kabisa kwakipika hii kitu baba lazima wamtafutie chakula kingine.
Je! Wewe ni mmoja wao ambao haujawahi kula hii kitu?View attachment 2223429View attachment 2223431
Ugali, wali, makande ndizi na vinginevyoHuwa mnakula nini hapo kwako?
YapMagimbi huwa unakula? Nikupikie sikumoja....nyie mnatumia tui la naz wanyakyusa tui la Karanga....aisee utafurahia.
Sawa
🤣🤣Mkutane ili mlete kampeni ya kula Mihogo au
Kwahio unawaanbia wanao ugali(wanga),wali(wanga) ni Bora zaidi ya chips(wanga)?Ugali, wali, makande ndizi na vinginevyo
Aisee bora nilale njaa kuliko kula kandeUgali, wali, makande ndizi na vinginevyo
Kwahio unawaanbia wanao ugali(wanga),wali(wanga) ni Bora zaidi ya chips(wanga)?
Ukisoma comment hio ulioquote kuna jibu.Kwako chipsi na ugali kipi bora tuanzie hapo kwanza?
Hii kitu ni tamu sana mkuu, ukimpata fundi wa kuyapika 😋😋
zinasababusha maradhi gani?hakiongezi chochote zaidi ya kuusababishia mwili maradhi yasiyo na maana.
Wanao watakuwa vilaza maana wanakula wanga daily. Ugali ni wanga, wali ni wanga, makande ni punje za ugali mgumu ambazo ni wanga, ndizi ni wanga. Hayo makande labda yanakuwa na maharagwe ambayo ni protein source ndogo.Ugali, wali, makande ndizi na vinginevyo
MuelezeeWanao watakuwa vilaza maana wanakula wanga daily. Ugali ni wanga, wali ni wanga, makande ni punje za ugali mgumu ambazo ni wanga, ndizi ni wanga. Hayo makande labda yanakuwa na maharagwe ambayo ni protein source ndogo.
Chips ni wanga vile viazi, havina tofauti na makande yako hayo. Sana sana unajivunia kula mbegu zenye maji na chumvi. Nilichogundua ni kwamba hujui aina za virutubisho, tatizo lako sio chips ila ni elimu ya lishe
Utakuwa mpare sio bureHii kitu ni tamu sana mkuu, ukimpata fundi wa kuyapika [emoji39][emoji39]
Kumbe ni tamu eejIvi unajua utamu wa chips vs mishikaki ww?